Kwa mwendo huu JULIUS MTATIRO (CUF) sahau ubunge-ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwendo huu JULIUS MTATIRO (CUF) sahau ubunge-ubungo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Sep 10, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Jana mitaa ya huku kwetu Mabibo kulikuwa na mkutano wa kampeni za uchaguzi wa udiwani na ubunge ilifanyika hapa kigogo-luanga kwa biti kahenga,kiukweli kabla ya muh. Julius Mtatiro kuingia,yule meneja kampen wake aliongea mambo mengi sana ambayo hayakuwa na msingi zaidi ya kupiga vijembe kwa CCM, mgombea udiwani wao mr KIWOPE nae akaongea sana kuhusu kero zinazotokea na zilizopo hapa mabibo wakitolea mifano ya zahati kuwa na vyumba vitatu nk,MARA KIDOGO akaja JULIUS MTATIRO akaingia pale viwanjani..sasa ngoja nije kwenye point...huyu muheshiwa bwana kapanda stejini kaongea mno,kapiga vijembe sana kuhusu ccm na mgoBmea wake HAWA NG'UMBI kwamba huyu dada hafai,mara ooh alikuwa kampen meneja wa keenja,kama keenja kashindwa kuongoza gari atawezaje kondakta?kiukweli kwa vijembe mmeshinda,sasa huyu bwana akawa kajisahau,kaendeleza vijembe mpaka muda wa kufuturu kwa waislam umefika yeye anaendelea na vijembe tu kwa ccm,kasahau kutuambia wasiklizaji kwamba atafanya nini endapo tutampa ridhaa ya kuongoza jimbo hili la ubungo,ikabidi wale wapambe wamsukumizie kikaratasi kwamba bwana unasahau wajibu wako uache vijembe ongea sera...muda kwa kuwa ulikuwa ushaenda sana na watu wakawa wanaondoka akawa kama mtu aliyepigwa na shock/mst ujue kasemaje, yeye akiwa mbunge atafanya mambo makubwa matatu(3),nikawa mvuvmilivu wa kumsikiliza... akasema..
  1) Atajenga ofisi kubwa ya mbunge na itafanya kazi masaa 12 kila siku
  2)atajenga mabweni ya wasichana...hapa kasahau kwamba mabweni yatakuwa ya shule gani kwani hakutaja shule ipi atajenga hayo mabweni,huku akijua hapa mabibo kuna shule moja tu ya mabibo sec amabyo ni day,sasa sijui akiizungumzia shule hii ama loyola ..mi sijui
  3)Ataanzisha na kutoa kipaumbele cha michezo katika shule za secondar akataja mfano michezoo ya ngumi(akiipa nafasi ya kwanza),netball,football nk
  Sasa jamani kwa sera hizi za muheshiwa mtatiro ataipata kweli kura yangu hapa???kwa ushauri tu nakuomba bwna mtatiro achana na vijembe muda bado unao wa kujirekebisha,weka vijembe kidogo na sera ziwe nyingi,ila ukiendelea hivi naona tar 31 octoba inaweza ikala kwako,najua hili jimbo tayari ni la MNYIKA lakini ukiwa makini unaweza kuonyesha upinzani kidogo kwa mnyika,manake CCM TAYARI WAMEJIBWAGA WENYEWE KWENYE ULE MDAHALO,SO HATUWACHAGUI NG'OOOOOOOOOOOOO!!
  NAWAKILISHA
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ujumbe umefika
   
 3. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Nilipoongea ujinga wa huyo bwana kugombea kuharibu za mnyika watu walidhani nimetumwa.ila cuf na siyo ubungo pekee wana ndoa na ccm.hawaaminiki hao ccm.watakutumia tu
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi Mtatiro anagombea kupitia chama gani, CUF au CCM?
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa hio CCM ina ndoa na wengi maana kuna jimbo silitaji CHADEMA wanampigia kampeni mgombea wa CCM na wanasema huyo ndie anaefaa

  nyote nyny wake zetu tu

  mnaoneana wivu bwana anampenda huyu kuliko yule
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hiko!!
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  makamba povu lilimtoka kwa maneno kama haya!
   
 8. D

  Dopas JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilifikiri mtu wa maana alimpokuwa UDSM, kumbe mbabaishaji tu.
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  na kivipi wa awe na maana na uoni wako mtu akiwa chama chengine kisicho CHADEMA ni mpuuzi

  ww unaamini kuwa waliokuwa CHADEMA ni waungwana na wanaakili hata wakizini, wakibagua wenzano kidini, kikabila na mengineyo


  kwa kweli unatakiwa uhurumiwe
   
 10. B

  BRIA Senior Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  KUMBUKA YA BASHE WE mchumba wa CCM
   
 11. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwenye mdahalo wa wagombea ubunge wa Ubungo, Mtatiro aliperform vizuri sana na kwa maoni yangu he was the best.

  Sometimes ni vigumu sana kujua mtu anayeleta habari kama hajaziboresha ili kuiridhisha nafsi yake kutokana na ushabiki wake binafsi.
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
Loading...