kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana busy. sasa nataka msichana safi anayejua kupenda na kucare mwanaume mungu akipenda tufanya maisha sasa muda wa kuruka ruka umeisha. kwa walio tayari wantext 0654 531 647. then mengine tutapanga huko. wakwanza kujitokeza watapewa kipaumbule. Mimi naisha dar na nitapendelea wa dar hapa hapa, wa mikoani tutasumbuana namna ya kuonana
 
Biashara matangazo!ikifka jion mahesabu!haha usisahau kutupa feedback!mkuu
 
mhh...jamani mbona namba yenye busy sasa....dah....lakini vip sasa huko kazin ujapata kweli mtu au unataka tu kutushushua kwamba wanawake wasaivi tunajipendekeza....
 
Heheh,biashara matangazoo
basi sawa,WEKA PICHA NA SALARY SLIP,tuanzie hapo
 
Sasa em nisaidie if it were you?...PICHA MZEE,N SALARY,ntajuaje km unaweza kunitunza na unavutia...umasaini huko walikuwa wanaua simba,ts easier for u nwadays
 
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana busy. sasa nataka msichana safi anayejua kupenda na kucare mwanaume mungu akipenda tufanya maisha sasa muda wa kuruka ruka umeisha. kwa walio tayari wantext 0654 531 647. then mengine tutapanga huko. wakwanza kujitokeza watapewa kipaumbule

Mbona unaharibu CV? wanawake watakuogopa, iweje uwe na wanawake wengi na uachane nao na umri wako mdogo. unaelekea either we ni player, a coward or siyo serious mtu aso msimamo
 
Sasa em nisaidie if it were you?...PICHA MZEE,N SALARY,ntajuaje km unaweza kunitunza na unavutia...umasaini huko walikuwa wanaua simba,ts easier for u nwadays

Ndo maana nikasema tukishakutana mambo mengine yataendelea, hayo mengine ni pamoja na hayo unayotaka, ww nitext au call tu I am waiting for you
 
Sasa em nisaidie if it were you?...PICHA MZEE,N SALARY,ntajuaje km unaweza kunitunza na unavutia...umasaini huko walikuwa wanaua simba,ts easier for u nwadays

hahaaaa! Umenivunja mbavubadiebey....akiweka fake....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom