Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana busy. sasa nataka msichana safi anayejua kupenda na kucare mwanaume mungu akipenda tufanya maisha sasa muda wa kuruka ruka umeisha. kwa walio tayari wantext 0654 531 647. then mengine tutapanga huko. wakwanza kujitokeza watapewa kipaumbule. Mimi naisha dar na nitapendelea wa dar hapa hapa, wa mikoani tutasumbuana namna ya kuonana