Malizia bwana........japo nini?
Can u gues, at least unafikiri kwanini nimekutaja wewe.........
Kwahiyo watu ULIOANGALIA THREAD, POST na COMMENT zao ni hao hapo juu tu?Well nimekuwa naangalia threads, post, coments zako kwenye threads mbalimbali including mine n thats why i mentioned u............
No way nimeangalia za watu wengi sana sana sana, but the ones i mentioned hapo ni wale ambao kwa mtizamo wangu mimi wameni inspire kwa namna moja au nyingine. Sababu nyingine HAZIELEZEKI...................Kwahiyo watu ULIOANGALIA THREAD, POST na COMMENT zao ni hao hapo juu tu?
I'm more interested in "hizo zisizoelezeka".No way nimeangalia za watu wengi sana sana sana, but the ones i mentioned hapo ni wale ambao kwa mtizamo wangu mimi wameni inspire kwa namna moja au nyingine. Sababu nyingine HAZIELEZEKI...................
I believe some of them are really supastaaz, unajua being popular, and do things for others zinaweza kuwa baadhi ta sifa za kuwa supastaaSure hiyo list imetulia sana....
wengine walienda mbali zaidi hapo katikati ya mwaka na kuwavisha taji la "usupastaa" wa JF lol...
Japo sioni ubaya wake hao jamaa wanastahili sana, kwa nafasi zao na majukwaa yao.....
Hahahahaaa hizo bhana hazisemeki hapa....................................
Haya ntasema hapa hapa...................................Hope sitapigwa na TF
Well after all the bla blas i said before....................the main reason z that "I LIKE U"
Mkuu nataka kuwa very brief as i can be ili nisiwe kama mwanasiasa,Mkuu umekuwa mchango mkubwa kwangu baada ya kunitaja, hivi mimi nimeku inspire kiaje lakini?