Kwa muktadha huu - ni nani msafi chadema?

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
WanaJF,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.

Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.

Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:

1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.

2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).

3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.

Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.
 
Hawa viongozi wa Chadema ni sawa na mbwa mwitu kila mtu na tumbo lake,kila mmoja na mzigo wake, wanafanana na kutembea pamoja kwakuwa wote Wako polini.

Hawa viongozi wa Chadema hawapishani katika haya mauchafu ya kila aina yanayoibuliwa kila uchao.

Chadema ni mkokoteni wenye pancha hauwezi kupiga hatua tena.
 
We kweli ni punguani... Hiyo topic yako itadoda tu!
 
Hii nchi tuana kazi sana..na huyu ni naibu mwenyekiti wa chama...anaongea vitu ambavyo anatakiwa aongee mwenyekiti wa shina....na tena anaongea kwenye mtandao mkubwa kama jf.....anaongea kipindi ambacho kuna mjadala mkubwa kabisa wa kitaifa....HU NI UPUMBAVU wa hali ya juu
 
slaa ana mchumba
mbowe ana kimada
lema anabaka
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
........

Ha ha ha ha haaaa! Hivi kwa akili yako ndio unaamini kuwa kwa kuandika ulichokiandika utakuwa una-justfy uchafu wa viongozi wa chama mzigo (kwa kudai kuwa na wapinzani nao mizigo kwa hiyo bora tubaki na ccm)?
Single hiyo ime-flop hata kabla haijapakuliwa!
 
WanaJF,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.

Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.

Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:

1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.

2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).

3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.

Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.

Akirudi mwenyekiti wa chama chako ha magamba alikokwenda kubadirsha damumambie ajitahidi basi kuachia ngazi akiwa salaama baada ya nchimbi kutoswa unafuaa ni wewe haifki marchi akuwa umetoswa huna p kushika
 
Hoja hapa ni nini????Watu wameuwawa na operator wenu wa tokomeza ujangil ww unafanya kaz yakujadili mtu!!!
 
HAMY-D,Zemarcopolo,Shelui,Taswira etc,tangu jana alfajiri anahangaika kupost mapishi yake!!! Tema mate na humu basi!!!
 
Na Babu sea yuko ndani kwa ajili ya nini? Na yule alie ibiwa hotelini kule moro alikua ni wa chama gani na Yule alie wai kua raisi na akaowa mke wa mramba ni wa chama gani? Au ndio Nyani aoni kundule?
 
WanaJF,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.

Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.

Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:

1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.

2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).

3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.

Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.

katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii ndio chanzo cha uchafu wote wa hapo wizarani sio anaishia Kagasheki peke yake kujiudhuru waliong'oe na hilo likatibu... yaani kaondoka Kagasheki sijui kama atabaki tembo hata mmoja nchi hii maana najua majangili yakiongozwa na yule katibu yatakuwa yanashangilia usiku huu
 
hiki ni chama cha wazinzi mi hatuwezi kuwapa nchi hata siku moja .
Lema anabaka.
Mbilinyi ana mchumba
Silaa ana kimada
Mbowe ana kimada
Nasari ana mchumba
halima ana mchumba
Zitto ana mchumba
,,,,,,,
 
Back
Top Bottom