WanaJF,
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.
Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.
Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:
1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.
2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).
3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.
Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.