Kwa mujibu ya Warusi hawa ndio Waisraeli halisi

Vitabu mbalimbali vya kirusi vinaelezea kuwa muisraeli asilia ni mtu mweusi, Vitabu hivi vinaambatanisha na picha za manabii mbalimbali wanaotajwa katika dini ya Kikristo na katika historia ya Dunia kwa ujumla. Kwa mujibu ya Warusi ,waisraeli halisi ni Watu weusi (wakazi wa Afrika Mashariki).

Na matatizo yote wanayopitia watu weusi ni ushahidi tosha, Watu weusi ndiyo taifa teule. Hii ni kwa mujibu ya reporter hapo chini. Ambaye ni reporter wa Kizungu aliyejikita katika utoaji wa taarifa zinazofichwa.

Swali Kwa kila mwafrika Kwa nini hii historia inafichwa sana?

Ujinga mtupu. Wabantu waliotoka West Africa ndio mnawaita Israelites
 
Mpaka leo ulikuwa hufahamu kama sisi ni wayahudi original. Kuna vifungu vya kwenye Bible vinavyoongelea rangi ya myahudi kuwa ni nyeusi
 
Kabisa yani..
Kwanini tunatumia nguvu nyingi kujinasibisha na hawa watu? Kikubwa si sote ni binadamu na tumeumbwa kwa mfano wa muumba. So mu israel akishakuwa mweusi ndo inakuwaje sasa, inakusaidiaje wewe binafsi? Umaskini wa mwafrika una roots katika kutojiamini na kutojikubari kwetu. Tupigeni kazi tu hamna race bora kuliko nyingine kama mna kipato sawa
 
Wale waliyopo pale Israel hivi sasa ni wapoland, hata ukimtazama mpoland na hao hawana tofauti yryote ile. Wanaabudu kupitia dini ya uyahudi tu, ndiyo ilifanya waitwe wayahudi.

Wale ni wayahudi ila si Waisrael, kuitwa myahudi hata ukiwa mhindi ni mfuasi wa dini ya uyahudi basi wewe ni myahudi. Kuna Waisrael na hao ndiyo kwao pale, wazungu wale wamevamia kutoka Poland.

Ingieni mtandaoni mtazame sura za wapoland na hao waliyopo Israel, mwone kama mna tofauti
 
Back
Top Bottom