Kwa mujibu wa Tovuti ya TFF - www.tff.or.tz hiki ndicho kikosi cha timu ya Taifa

Taifa stars ndio nini? Ni mpaka lini wa tz mtaamini hatuna asili ta football?badala ya kuwahamasisha watanzania wajiandae vizuri na mashindano ya riadha ya afrika mashariki na kati yanayotarajia kufanyika arusha na yale ya ndondi yanayotarajia kufanyika kule Mwanza unazungumzia football?tufute kabisa huu mchezo tubakiwe na riadha , ngumi, basketball ,volleyball na table tennis ambayo ni rahisi na tumewahi kuimudu na haina hasara kama hili janga la taifa
 
Ukitaka kujua mchezo ambao tuna asili nao tazama tu viwaja vya michezo:

Kila kijiji kina uwanja wa mpira wa miguu..kusema tennis na basketball ni kudanganya umma.

mkuu wangu okaoni, hata kama hupendi kitu ..heshimu wengine..mpira ndo kila kitu tanzania.

Tatizo usimamizi bado haujachangamka.. & tunakimbia wakati wengine wanapaa.
Ukishindwa kupika suluhisho si kususa kula..suluhisho ni kutafuta mpishi mzuri au kujifunza kupika
.
 
Back
Top Bottom