Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Nimeona kuna mada imeandikwa humu JF inapotosha ambayo inasema
Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!! | Page 24 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!
Labda ambaye ameandika hajui analichokiandika kwa Mujibu wa sheria ya Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kumuita mtu kwenye kituo cha Polisi.
5.Regional Administration Act, No 19 of 1997 inampa uwezo Mkuu wa Mkoa kumweka kizuizuni kwa masaa 48 mfululizo mtu anayehisiwi kuwa ni mwalifu au anayehatarisha hali ya utuvuli na amani .
Je hao Wakuu wa Mikoa ambayo wamekuwa wakitoa tamko ya kukamatwa kwa viongozi ambayo siyo wahalifu hayo mamlaka wanayatoa wapi kwa mujibu wa sheria gani? ??
Mamlaka ambayo amepewa Mkuu wa Mkoa ni kuweka kizuizuni mtu anayehisiwi kuwa ni mwalifu au anayehatarisha hali ya utuvuli na amani tuu.
Ambayo wameitwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda kwenye kituo cha Polisi kabla ya kwenda walitakiwa kumuuliza Makonda hayo mamlaka ameyatoa wapi? Nashangaa sana Kamanda Sirro naye hajui mamlaka ya Mkuu wa Mkoa? Anayetakiwa kumuita mwananchi yeyote kituo cha Polisi ni Jeshi la Polisi siyo Mkuu wa Mkoa.