Kwa mujibu wa Sheria, VICOBA vinatakiwa kusajiliwa na kulipa kodi ya Serikali?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Sheria ya Microfinance na kanuni zake inasemaje kuhusu vikundi vya watu kuweka fedha na kukopeshana yaani VICOBA(sio SACCOS)?

Je,VICOBA vinatakiwa kusajiliwa?

Na je,vinapaswa kulipa kodi?

Kama vinapaswa kusajiliwa na kulipa kodi, kutosajili na kutolipa kodi adhabu yake ni nini?
 
Lengo kubwa la kusajili hivi vikundi ni kwa ajili ya usalama wa wanachama wanaochangia fedha zao,mfano mmechangishana labda ikafika milioni 20,wachache wakaamua kukimbia na hizo fedha...utawashtaki wapi;au mwanachama akafariki huku akiwa amechangia kiasi kikubwa cha fedha,je mnufaika atafaidikaje.
 
Back
Top Bottom