baba ndege
Member
- Dec 30, 2018
- 25
- 3
wakuu hivi msange jkt ya tabora ipoje
Iko iviwakuu hivi msange jkt ya tabora ipoje
Nikiwa mdogo niliambiwa wananchi wote wa Israel ni wanajeshi,lakin ktk kufuatilia mambo nikaja kujua badae kumbe Sio wanajeshi ila wamepitia JKT ya huko.Kumbe pia pale USA wale walio deal kutoa ulinzi baada ya bunge kuvamiwa na waandamanaji,waliolinda uwanja alikoapishwa Biden,walio deal na maandamano ya Black lives matters , wanaotoa misaada US ikikumbwa na janga kama kimbunga,usambazaji wa chanjo ya corona na mengine mengi wamevaa magwanda ila cio wanajesh, ni National Guard ambao ni JKT ya USA.Hapa kwetu bongo vita ya Kagera JKT walimuadabisha Nduli Amin Dada ,ukuta wa Mireran,Maujenzi kibao ikiwemo ikulu yetu ya Dom ni JKT. Kijana mujibu wa sheria akimaliza mafunzo, jamii inampa hadhi, heshima na kumkubali ,inaamin atakuwa mtetezi wa Taifa lake.Vita cio kushika mtutu wa bunduki pekee,wanajeshi ambao wanashika mtutu wanategema sana kupata habari za adui kama vile yupo wapi,Ana silaha gani,wapo wangapi,wamelenga kuja kushambulia askari wetu saangapi.Yote hayo yatafanywa na kijana wa mujibu wa sheria ambae baada ya kumaliza chuo ataajiriwa na adui kulingana na professional yake kama Dr,engr, mwalimu nk.Akiwa nchini jamii inategemea awe mlinzi wa Rasilimali za nchi.Kijana huyo akienda kinyume kwa K uingiza implied task zake hajatumwa na jamii kufanya huo uovu. Mfano misikitini na makanisan wanatuhubiria tusizini ,lakin wewe mbona unatembea na binti wa mtu na umemtia mimba? Ndio tuseme tubomoe makanisa na misikiti kwa kuwa muumin mmoja kamtia mimba mwanafunzi? Acha misikiti na makanisa viendelee kuwepo kwani ndani ya waumin tunaweza pata "Walokole" Na form six wacha waende JKT kwani Kati ya Vijana lets say 20000000 tunahitaji kijana mmoja tuu ambae atabutua na kuiokoa Tanzania.Huamin? Angalia kichwa kimoja tuu cha JPM (RIP 😭) watu mil 60 tuliomba poo.Kama huamin hilo a ngalia alivyorud kwa baba muumba watu walivyo bwabwaja,tunawaangaliaaaa huku tukijiuliza walikuwa wapi (wachumia tumbo wakubwa).Uzalendo gani?viongozi karibia wote waliopo walipita jkt tuambie wameleta uzalendo gani nchini zaidi ya upigaji tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyorororo...😹😹😹 kwahyo ni kama wameenda kukua tu jeshin ili muda upite!?Ulishawahi kwenda jkt kwa mujibu wa sheria? Ni mbinu gani za kivita mnafundishwa?
Wengi wameenda lakini wapo vile vile nyoronyoro
Utadakwa kama mhalifu mwingine!
Hivi ni nini kinachowafanya muogope kwenda jkt?ni uvivu,ulegevu,nyoro nyoro au nini hasa?Acheni kuitia aibu nchi yetu kwa kuonyesha uvivu wa kufikiri!!!
Utakosa kuajiriwa na serikali...
Kumbe tuna chat na vitoto humu
Uwezo wa uvumilivu na kuwa tayari kwa lolote wakati wowote uwezo wa kuthubutu kufanya lolote jema bila uoga!kujitoa kwa wengine uzalendo,utii na ukakamavu na utimamu wa kiakili na kuondoa uzembe na ulegevu katika jamii!!!Kuna faida gani kwenda huko?
Selikari huwa inapotezaga hela sana kuwalisha hawa wa kwa mjibu... Maana sionagi matokeo ya mafunzo yaoUzalendo gani?viongozi karibia wote waliopo walipita jkt tuambie wameleta uzalendo gani nchini zaidi ya upigaji tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nawajua wengi hawakuenda na wamepewa mkopo tena 100%Asante sana. Majibu yenye mantiki sana unless unategemea kujiajiri bil kuhitaji serikali whatsoever. Bsi kijana atakwenda. Nilimaliza JKT 1978
Wapo kawaida, hakuna mafunzo yoyote ya kumfanya mtu awe mbabe. Yapo waliyojifunza lkn sio hayo mnayoyafikiria.Nyorororo...😹😹😹 kwahyo ni kama wameenda kukua tu jeshin ili muda upite!?
Angalia kichwa kimoja tuu cha JPM (RIP 😭) watu mil 60 tuliomba poo.Kama huamin hilo a ngalia alivyorud kwa baba muumba wa
Kuna kila sababu ya kuheshimu umjuaye na usiyemjua. Baba yangu umri huo ndio wanapigana na wenzake manati shule ya msingi 😀😀Asante sana. Majibu yenye mantiki sana unless unategemea kujiajiri bil kuhitaji serikali whatsoever. Bsi kijana atakwenda. Nilimaliza JKT 1978