Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

Nothing will happen, umealewa, maana siku hizi kila kitu mnauliza mtandaoni hata maswali yasiofaa kuitwa maswali, eg nisipokula kitatokea nn? 😡😡😡
 
Tunataka vijana wajifunze uzalendo!Mimi sifurahishwi na utovu wa nidham na tabia ya wasomi wetu kukosa uzalendo wa nchi yao!!Ndio maana tukaleta utaratibu huu na lazima ufuatwe bila kukwepa kabisa!!!
 
Hata usipokwenda hakuna tatizo lolote, labda kama utahitaji kuajiriwa na serikali ndio unaweza kupata vikwazo kidogo, lakini ukihonga hamna shida utapata ajira.
Kwani bwamdogo kwenda JKT ni mandatory? Kiasi kwamba huwezi kupata kazi mpaka upitie JKT? Siku hizi ni kujitolea sio kama enzi zetu. Alafu kwa nini unafundisha watu kuhonga?
 
Tunataka vijana wajifunze uzalendo!Mimi sifurahishwi na utovu wa nidham na tabia ya wasomi wetu kukosa uzalendo wa nchi yao!!Ndio maana tukaleta utaratibu huu na lazima ufuatwe bila kukwepa kabisa!!!
Me sioni mantiki ya vijana kwenda huko, wakikosa cha kufanya mtaani baadae wanatumia technic walizojifunza huko katika uhalifu....
 
Tunataka vijana wajifunze uzalendo!Mimi sifurahishwi na utovu wa nidham na tabia ya wasomi wetu kukosa uzalendo wa nchi yao!!Ndio maana tukaleta utaratibu huu na lazima ufuatwe bila kukwepa kabisa!!!
Pole sana, ebu jaribu kutuliza akili ufikirie tena
 
Tunataka vijana wajifunze uzalendo!Mimi sifurahishwi na utovu wa nidham na tabia ya wasomi wetu kukosa uzalendo wa nchi yao!!Ndio maana tukaleta utaratibu huu na lazima ufuatwe bila kukwepa kabisa!!!
Uzalendo gani?viongozi karibia wote waliopo walipita jkt tuambie wameleta uzalendo gani nchini zaidi ya upigaji tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom