Kwa mujibu wa mkataba,ukitokea mgogoro wa kibiashara baina ya pande mbili,nini kinatakiwa kufanywa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Tangu Raisi Magufuli azuie yale makontena nilianza kujiuliza hili swali ma mpaka sasa sielewi.

Je,tulitakiwa kukaa chini na kutafuta suluhu ya pamoja na tukishindwana ndio tunapelekana katika mahakama ya kimataifa iliyotajwa katika mkataba baina yetu au upande mmoja unaweza kuchukua maamuzi bila kushirikisha upande wa pili yaani ku-act unilaterally?

Au mikataba hii iko kimya juu ya hili kwa maana ya mkataba kuwa umeacha loophole katika hili?
 
Tangu Raisi Magufuli azuie yale makontena nilianza kujiuliza hili swali ma mpaka sasa sielewi.

Je,tulitakiwa kukaa chini na kutafuta suluhu ya pamoja na tukishindwana ndio tunapelekana katika mahakama ya kimataifa iliyotajwa katika mkataba baina yetu au upande mmoja unaweza kuchukua maamuzi bila kushirikisha upande wa pili?
Mpaka uuone mkataba wenyewe, next to impossible
 
Tulitakiwa kuchukua hatua ya kwanza hiyo yaani majadiliano hadi ufikie mahakama ya kimataifa ya biashara. Wao ndo waamue. Ingewezekana pia mbia akasema tukakae sasa ila bado yeye ndo mwenye kuushika mpini. Swali jingineee
 
Unatafuta Suluhu na Kibaka?

Bavicha mnatetea wakwepa kodi kwa kuwa mwenyekiti wenu ni mkwepa kodi!
 
Tangu Raisi Magufuli azuie yale makontena nilianza kujiuliza hili swali ma mpaka sasa sielewi.

Je,tulitakiwa kukaa chini na kutafuta suluhu ya pamoja na tukishindwana ndio tunapelekana katika mahakama ya kimataifa iliyotajwa katika mkataba baina yetu au upande mmoja unaweza kuchukua maamuzi bila kushirikisha upande wa pili yani ku-act unilaterally?

Au mikataba hii iko kimya juu ya hili kwa maana ya mkataba kuwa umeacha loophole katika hili?
Kila mkataba una namna yake ya ku-settle disputes. Wenye huo mkataba ndo wanajua yakiyoandikwa kuhusiana na suluhu ya migogoro
 
Unatafuta Suluhu na Kibaka?

Bavicha mnatetea wakwepa kodi kwa kuwa mwenyekiti wenu ni mkwepa kodi!
mkuu, ungejibu hoja kuhusu mikataba ingependeza zaidi.hili ni suala sensitive ambalo halihitaji kupigana vijembe vya kisiasa.
 
ACACIA wamesema watatoa tamko rasmi watakapokuwa wamepitia kwa undani hiyo ripoti ya uchunguzi na mapendekezo yake.
inawezekana tukapata fununu ya mkataba kati yao na serikali.
anyway natumaini mkuu wa nchi atachukua tahadhari zinazohusiana na vilivyomo kwenye hiyo mikataba ya wenye migodi.
 
Tangu Raisi Magufuli azuie yale makontena nilianza kujiuliza hili swali ma mpaka sasa sielewi.

Je,tulitakiwa kukaa chini na kutafuta suluhu ya pamoja na tukishindwana ndio tunapelekana katika mahakama ya kimataifa iliyotajwa katika mkataba baina yetu au upande mmoja unaweza kuchukua maamuzi bila kushirikisha upande wa pili yaani ku-act unilaterally?

Au mikataba hii iko kimya juu ya hili kwa maana ya mkataba kuwa umeacha loophole katika hili?
Mkuu I think it's never too late. Ni wakati wa mikataba yooote kuwekwa wazi. Tuanzie na hili kwanza mingine ifuate sooner than later. Mkulu akitaka kulishinda hili aagize mikataba yote juu ya meza. Tuaanze kuchimba makaburi yasiyochimbika vinginevyo tutarudi kulekuleeeee.
 
Back
Top Bottom