Kwa mujibu wa majibu ya DNA test kuwa she's not my daughter

DNA hospitali 2 tofauti? Tanzania DNA si Muhimbili Tu?au hospital zipi zingine?
 
Wanawake sometimes akili zetu twazijua wenyewe, japo mi siwezi hata kwa utani kumwambia baba kuwa watoto sio wako siwezi!!!!
Kuna mwanamke mwingine ukimkera tu kidogo yanamtoka maneeeno kisha anamalizia mtoto sio wako of which ni akili mbovu.
Kumbe na wewe umembambikizia mume wako watoto?
 
Habari zenu ndugu zangu

Bila kujaza mate kwenye maiki ngoja niende kwenye lengo langu lililo nifanya niombe msaada.

Ni miaka takriban mi 3 tumeishi poa na kwa furaha sana mie na mpenzi wangu/mke wangu..huu mwaka 2021 sijui nini kilimpata toka January amekuwa ni mtu wa kuzua ma ugomvi mpaka muda mwingine naona uvivu au kero kurudi nyumbani mapema..

Ilipo fika tu mwezi wa pili akazidisha vulumai ndani kiasi ikafikia mpaka mie kutamani kuinua mkono wangu na kumpiga japo nina mpenda sana, bahati nzuri Mungu akanipa ujasiri nikashindwa kumuadhibu maana mwanamke hapigwi pingwi ukimshindwa ni bora Umuacha.

Tarehe za mwanzoni kabisa mwezi wa pili, nimerudi home jioni mida ya saa kumi na moja kutoka kazini..nimekuta nyumba imefungwa na funguo kaacha kwa jirani yetu Mama Vai,..kibaya zaidi kaacha na ujumbe kwa jirani yetu! Kuwa ANATAKA TALAKA YAKE HANA MUDA WA KUCHEZEA KWA KUENDELEA KUISHI NA MIE.

Ikabidi niingie ndani na kunyanyua simu na kumpigia Mke wangu, nimepiga zaidi ya mara 6 hakupokea hata kidogo.

Baada ya dakika kama 15 naona sms ikisema "NAOMBA TALAKA YANGU NADHANI UJUMBE UMEUPATA KUTOKA KWA MAMA VAI, NA KUKUONGEZEA NISISIKIE UNADAI KUHUSU MTOTO,HUYU MTOTO SI WAKO HATA KIDOGO NA UKITAKA HILO NITAKUPA NAFASI YA KWENDA KUMPIMA D.N.A MUDA WOWOTE UNAO UTAKA"...

Asee nilipatwa na mshituko mkubwa sana hadi nikahisi siwezi kusimama tena.

Ikabidi nimpigie simu Rafiki yangu Charles ambaye ni daktari hospitali flani kubwa tu hapa jijini Dar,..kuwa nahitaji huduma ya DNA hapo hosptali kwao akanijibu ipo wewe tu..

Siku kadhaa kupita nikafanya utaratibu wa kuwasiliana na Mke wangu japo haikuwa kazi rahisi lakini nikafanikiwa kumpata mtoto na nikaenda nae pale hosptali kwa rafiki yangu na nikaenda nae na hosptali nyingine ili nije niringanishe majibu..

ASEE HIVI JUZI NIMEPATA MAJIBU YA D.N.A KUWA NI KWELI MTOTO SI WANGU!!

NI MTOTO NINAYE MPENDA MNOO,NINAE MJALI MNOO, NI MTOTO AMBAYE HUWA ANANIKUMBUSHA MAMA YANGU

SASA SHIDA YANGU NI HII "KIPINDI HUYU MTOTO ALIPOZALIWA NILIENDA NAE KIJIJINI KWETU NA KUFANYA MIRA NA DESTURI ZA KWETU AMBAZO ZILINITHIBITISHIA KABISA 100% HUYU MTOTO NI WANGU,NA CHA KUSHANGAZA ANA KILA KITU CHA KUFANANA NA MAMA YANGU MZAZI..MPAKA KUNA ENEO LA SHINGONI ANA KIPELE/KISUNZUA KAMA SIJAKOSEA KIPO KAMA ALICHOKUWA NACHO MAMA YANGU"

LEO HII NAAMBIWA KWA MUJIBU WA MAJIBU YA DNA TEST KUWA SHE'S NOT MY DAUGHTER!! NIMEUMIA SANA..

NAOMBENI MSAADA HIVI KWELI MAJIBU YA DNA HAYAWEZI KUWA SIO SAWA?!!
We see what our mind already believed.
Ukiamini mie Ni mwema Basi utauona huo wema kwangu Ila ukiamini mie Ni mbaya utauona huo ubaya kwangu. Kumbuka mie sijacheji Niko vile vile uliyechenji mawazo na Imani Ni wewe na ndio Mana mie nikabadilika Ila kiuhalisia umebadilika wewe. So na wewe uliaminisha ubongo kuwa huyo mtt Ni wako so ikabidi itafute vitu ama reasons zinazoendana na Imani yako.
Kama hapo mwanzo mie mbaya ama mzuri ubongo unatafuta kila sababu baya ama zuri lionekane ipate kidhibitisho kuwa mie Ni mbaya ama mzuri.
That's how brain inavyofanya kazi. Inaweza ikatafuta sababu ya kuachana na mpenzi ama kuachana naye.
Inatafuta sababu ya wewe kuendelea kuwa na umasikini ama uikimbie umasikini.
 
. Naombeni taratibu za kupima DNA 🤔🤔,

. Nina watoto wawili mitaani, sasa nataka ni verify kwanza ndo niwachukue 😎😎.

. Maana Kulea mbegu za dume lingine ni upuuzi.
 
Habari zenu ndugu zangu

Bila kujaza mate kwenye maiki ngoja niende kwenye lengo langu lililo nifanya niombe msaada.

Ni miaka takriban mi 3 tumeishi poa na kwa furaha sana mie na mpenzi wangu/mke wangu..huu mwaka 2021 sijui nini kilimpata toka January amekuwa ni mtu wa kuzua ma ugomvi mpaka muda mwingine naona uvivu au kero kurudi nyumbani mapema..

Ilipo fika tu mwezi wa pili akazidisha vulumai ndani kiasi ikafikia mpaka mie kutamani kuinua mkono wangu na kumpiga japo nina mpenda sana, bahati nzuri Mungu akanipa ujasiri nikashindwa kumuadhibu maana mwanamke hapigwi pingwi ukimshindwa ni bora Umuacha.

Tarehe za mwanzoni kabisa mwezi wa pili, nimerudi home jioni mida ya saa kumi na moja kutoka kazini..nimekuta nyumba imefungwa na funguo kaacha kwa jirani yetu Mama Vai,..kibaya zaidi kaacha na ujumbe kwa jirani yetu! Kuwa ANATAKA TALAKA YAKE HANA MUDA WA KUCHEZEA KWA KUENDELEA KUISHI NA MIE.

Ikabidi niingie ndani na kunyanyua simu na kumpigia Mke wangu, nimepiga zaidi ya mara 6 hakupokea hata kidogo.

Baada ya dakika kama 15 naona sms ikisema "NAOMBA TALAKA YANGU NADHANI UJUMBE UMEUPATA KUTOKA KWA MAMA VAI, NA KUKUONGEZEA NISISIKIE UNADAI KUHUSU MTOTO,HUYU MTOTO SI WAKO HATA KIDOGO NA UKITAKA HILO NITAKUPA NAFASI YA KWENDA KUMPIMA D.N.A MUDA WOWOTE UNAO UTAKA"...

Asee nilipatwa na mshituko mkubwa sana hadi nikahisi siwezi kusimama tena.

Ikabidi nimpigie simu Rafiki yangu Charles ambaye ni daktari hospitali flani kubwa tu hapa jijini Dar,..kuwa nahitaji huduma ya DNA hapo hosptali kwao akanijibu ipo wewe tu..

Siku kadhaa kupita nikafanya utaratibu wa kuwasiliana na Mke wangu japo haikuwa kazi rahisi lakini nikafanikiwa kumpata mtoto na nikaenda nae pale hosptali kwa rafiki yangu na nikaenda nae na hosptali nyingine ili nije niringanishe majibu..

ASEE HIVI JUZI NIMEPATA MAJIBU YA D.N.A KUWA NI KWELI MTOTO SI WANGU!!

NI MTOTO NINAYE MPENDA MNOO,NINAE MJALI MNOO, NI MTOTO AMBAYE HUWA ANANIKUMBUSHA MAMA YANGU

SASA SHIDA YANGU NI HII "KIPINDI HUYU MTOTO ALIPOZALIWA NILIENDA NAE KIJIJINI KWETU NA KUFANYA MIRA NA DESTURI ZA KWETU AMBAZO ZILINITHIBITISHIA KABISA 100% HUYU MTOTO NI WANGU,NA CHA KUSHANGAZA ANA KILA KITU CHA KUFANANA NA MAMA YANGU MZAZI..MPAKA KUNA ENEO LA SHINGONI ANA KIPELE/KISUNZUA KAMA SIJAKOSEA KIPO KAMA ALICHOKUWA NACHO MAMA YANGU"

LEO HII NAAMBIWA KWA MUJIBU WA MAJIBU YA DNA TEST KUWA SHE'S NOT MY DAUGHTER!! NIMEUMIA SANA..

NAOMBENI MSAADA HIVI KWELI MAJIBU YA DNA HAYAWEZI KUWA SIO SAWA?!!
DNA za bongo watu wanachezesha sana madishi. Bongo ndiyo nchi ya kwanza kuisikia ambayo wataalam wamekubali ku temper na majibu ya DNA, huenda nchi nyingine zipo ila kwangu ya kwanza kuisikia ni bongo.
Cross border ukampimie Kenya.
 
Ok ningum sana mwanamke uliyezaa naye na HANA KAZI et aitake talaka kiraisi ivo.

Kwann alidai talaka?? Kwa sababu Baba wa mtoto, alimwambia njoo tuishi wote tulee mtoto wetu pamoja.

Nandio chanzo ya yeye kuanza hujuma na migogoro ili umpe talaka

Alipooona hutoi akaamua kukuweka wazi.

UKWELI NI KUA MTOTO SIO WAKO.

Acha kuwaza watu watakuonaje au lah

Shukuru Mungu amekusaidia mapema na ingali mapema ya muda na upotevu wa Pesa.

Kwan Huzalishi?? Jibu ni hapana.

Unalia lia nin sasa??? Yaan sio tu ulisalitiwa, bali namimba akabeba .

Huyo ni muuaji, mbwa kabisa, mbuziii, angeweza hata kuua, alafu unaumia umia nn sasa?????

Achana na huyo mpuuzi. Shukuru mbingu songa mbele.

Unakuaje Bob??????.
Akiendelea kumng'ang'ania atazalisha balaa zito sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
DNA hospitali 2 tofauti? Tanzania DNA si Muhimbili Tu?au hospital zipi zingine?

Hata muhimbili hawafanyi DNA test hii ni chai DNA test inafanywa na maabara ya mkemia mkuu wa serikali peke yake tena kwa utaratibu maalum jamaa muongo sana et hospital mbili alafu akalinganisha majibu
 
humu kuna watu waongo sana ila sikuhizi tunapita kimya kimya maana wajuaji sana pia.
 
Mimi nadhan ushauri utolewe kulingana na mada iliyopo yawezekana ikawa ni nadharia au ni uhalisia wa mlengwa maana yeye ndiye anayejua ukweli wa tatizo! Pole sana Kwa safari yako ya mahusiano iliyojaa mkasa wa kusisimua,kutisha na kukatisha tamaa. Kwanza utambue wazi wewe ni mwanaume yapo magumu yakuyapitia kulingana na uimara wako , ukumbuke kwamba wewe sio mtu wakwanza kupata mtikisiko kama huo na amini kwamba maisha yako ni mapya na ni lazima yaendelee , pokea majibu kwakuamini na kukubali matokeo kwakuwa kauli na vipimo vimeshatoka! Anza safari ya maisha yako Kwa mfumo mpya kwakuwa matatizo yapo ndani yetu , usitumie muda mwingi kujitathimini mapungufu yako kupitia tatizo lililokukuta, Kila kwenye jambo gumu zipo njia zakutafuta suruhisho, hebu angalia namna unaweza fanya eidha upate mapumziko kwenda kupumzika/ kufresh mind nje ya mkoa ulipo, ikiwezekana hama kikaz/ makazi ubadilishe mazingira, usijitenge na watu ,pendelea kushiriki michezo,omba ushauri kwalolote ambalo ni gumu kimaamuzi, kwasasa ishi maisha yako jipange vzr Kisha shirikisha ndg zako Kwa majibu ya mtoto uliyoyapata kutoka DNA,, Usikurupuke Kila hatua fanya Kwa mahesabu na mipango maisha lazima yaendelee
 
Mi nahisi hata hivo vipimo navyo sometimes havitoi majibu sahihi.
Pole kwa yanayokusibu.
Unaanza kuleta visingizio kuhalalisha mnavyobambikia watu watoto. Yaani hospital mbili majibu yale yale halafu unasema kuna uwezekano wa majibu ambayo sio sahihi. Kwanza mpaka mwanamke anaruhusu kupima DNA ujue ana uhakika na alichokisema kungekua na utata mwanamke angekataa kuchukua kipimo cha DNA
 
Dah ni ngumu kumeza, inauma na kunipa hasira kana kwamba imenitendekea mie hapa.
Huyo mtoto mpime hata nje ya Bongo.
 
Back
Top Bottom