Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,947
- 6,318
Kwenye ule mshahara ghafi wa mbunge, huwa wanakatwa kodi? Wanachangia mifuko ya jamii? Kile kiinua mgongo chao, huwa kinatokana na kikokotoo gani? Maana watumishi wote wa umma wangependa na wenyewe wapate kama yeye alivyopata kila baada ya miaka 5 ya kuwa mpiga domo tu.
Pengine wangeweka na Job descriptions kwa wabunge ili tujue majukumu yao ya msingi na wananchi tuwawekee KPI kwa mwaka/term.
Na baada ya hapo, afafanue kwanini mwalimu, mwanajeshi, n.k hapewi sitting allowance kila anapoenda kazini kama yeye anapoenda mjengoni.