Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Mtasema!!! Matakejeli!!!! yatatokea kama ya Lowassa, mnaanza kumpamba tena. Hatutachoka kuwakumbusha.Labda kama ni CUF wa lumumba nitaamini.
Mtasema!!! Matakejeli!!!! yatatokea kama ya Lowassa, mnaanza kumpamba tena. Hatutachoka kuwakumbusha.Labda kama ni CUF wa lumumba nitaamini.
Basi akili zake ni za mwendokasi kama za LumumbaAliyesema haya sio mwanalumumba
Tumia akili umeambiwa ni kwa mujibu wa mtoa mada channel ten huyo ndiye anaijua katiba ya cuf ndio maana kaalikwa kufafanua.Peleka unafiki huko lumumba wewe katiba ya CUF unaijua? huyo Lipumba mchukueni awe mwenyekiti wenu
Wewe mwenyewe huna akiliTumia akili umeambiwa ni kwa mujibu wa mtoa mada channel ten huyo ndiye anaijua katiba ya cuf ndio maana kaalikwa kufafanua.
Pale nilikuwa nahisi tu huenda ukawa na hali hiyo. Kumbe kweli huna kabisa.Wewe mwenyewe huna akili
Lakini hoja iliowekwa kuwa Katiba ya CUF haizungumzi kabisa kuwepo kwa "Kaimu Mwenyekiti" waliomteua "Kaimu Mwenyekit"i walitumia Katiba gani?Mbona unaweka hoja ya upande mmoja? ni vema ungeweka na hoja za yule aliyekuwa akipinga juu ya Lipumba kutaka kulejea kwenye nafasi yake, kwani imezungumzwa wazi hauwezi kuweka kiongozi juu ya kiongozi tayari mamlaka za juu zenye haki kikatiba ya CUF ziliisha teua mwenyekiti wa muda(Kaimu mwenyekiti) wa kukalia nafasi hiyo hadi uchaguzi utakapo fanyika. Nakushangaa wewe Kubwa la wajinga(Jingalao) kwa kuja na kihoja kama jinsi huyo aliyekuwa akimtetea Lipumba alivyoumbuka katika mjadala huo
Msituvuruge. Ishu ya Lipumba ilishaisha.Kwa kuwa katibu mkuu hakupeleka barua ya kujiuzulu ya Mwenyekiti kwenye mkutano mkuu basi Lipumba ana haki ya kutengua uamuzi wake.
Source:mdau anayejadili kupitia Channel ten.
Lipumba anaweweseka bure tu, akae mbali na chama akijutia mihemuko yake na kufanya maamuzi kabla ya kutafakari madhira yake ya muda mrefu na muda mfupi. Good riddance LipumbaKwa kuwa katibu mkuu hakupeleka barua ya kujiuzulu ya Mwenyekiti kwenye mkutano mkuu basi Lipumba ana haki ya kutengua uamuzi wake.
Source:mdau anayejadili kupitia Channel ten.
Sasa kama barua ya kujiuzulu haijapelekwa kwenye mamlaka iliyomteua utasemaje chama hakina mwenyekiti. Ifikie wakati katiba za vyama vya siasa ziheshimiwe
Kura zimepigwa wanachama 476 (97.2%) wamemkataa wameanzisha vurugu.Leo rasmi Lipumba na wahuni wake nje ya CUF.Bado haijaisha mkuu unaona yanayotokea?
Pungza jazba.....kwn kila anaezungmzia suala la CUF ni mfuas wa Lumumba?Peleka unafiki huko lumumba wewe katiba ya CUF unaijua? huyo Lipumba mchukueni awe mwenyekiti wenu
Kwenu wp ww??Lumumba kama mnamuona Lipumba anafaa uenyekiti Mchukueni na mumpe chama chenu lakini sio huku kwetu!!
Tumewachoka na maigizo yenu.
bas tufanye alikuwa mtoro wa kazin kwa zaid ya miez sita.....ni wakufukuzwa kazi ss...Kwa kuwa katibu mkuu hakupeleka barua ya kujiuzulu ya Mwenyekiti kwenye mkutano mkuu basi Lipumba ana haki ya kutengua uamuzi wake.
Source:mdau anayejadili kupitia Channel ten.