Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

MTOA MADA NDOTO HIZO HAZIWEZI KUTIMIA, NI WEWE TU AMBAYE HUIONI KAZI ANAYOIFANYA RAIS ,ILA WATANZANIA TUNAMKUBALI , UTABAKIA KULALAMA TU ,FANYA KAZI ACHA POROJO NA MAWAZO HASI
 
Naanza kupata hisia
Humu ndani kuna watu wanalipwa na yule bwana mwenye uchu wa kuingia ikulu
Tuwe makini sana
Maana moja ya mikakati yake siku zote
Ni kununua vyombo ya habari
Haiwezekani mh Rais anajitahidi kufanya kazi kubwa
Ila watu wachache wao ni kukosoa tu kila kitu
Hivi wewe ulizaliwa na mwanamke binadamu au na zimwi ?
Unashabikia mtawala katili huyu Kwa lipi? kununua ndege na kuzuia ajira ndo kutupeleka pazuri?
mpuzi kweli wewe.
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Nini malengo ya kuleta mada hii hapa? Acha ujinga wewe. Mlishindwa kwa kura ndio mnafikiria njia za kipuuzi hizo?
 
Kwanza kwamjibu wakatiba kabla hamjaanza figisu figisu zakumuondoa laisi.. Laisi anayo mamulaka yakulivunja bunge nakila mtu akaludi kwao.. Hiyo ndio nguvu ya laisi watanzania..labda watu mmesahau kuusu muungano wabunge wa tanganyika walipinga muungano lakini mueshimiwa wakipindi hicho aliwapa tahazali kama wasipokubaliana nayeye atavunja bunge. Kwamamlaka yake aliokuanayo
unafanya makusudi . una lengo gani?
 
Naanza kupata hisia
Humu ndani kuna watu wanalipwa na yule bwana mwenye uchu wa kuingia ikulu
Tuwe makini sana
Maana moja ya mikakati yake siku zote
Ni kununua vyombo ya habari
Haiwezekani mh Rais anajitahidi kufanya kazi kubwa
Ila watu wachache wao ni kukosoa tu kila kitu
Hivi nani kasema Magufuli aondolewe?

Mleta mada kaleta vifungu vya katiba tujadili sijui kwanini mna feel 'guility' on behalf.
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Kumbuka pia kua rais anamamlaka ya kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi wa bunge upya
 
Nitashukuru kama watanzania tutaachana na ndoto za vitandani.Tubaki na ndoto za utajiri,tuthubutu kuutafuta,na tuuchukie umaskini,na elimu inayotutia ujinga na umaskini,maana ni rahisi kuwa kama Dangote kuliko kumtoa Rais aliye madarakani
 
Kweli mnaisoma namba

Kwani kawakataza kusaka pesa znu kiuhalali au ndio bado mnataka za dezo za bure za walipa kodi?
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Hahahahahaa..wewe naona uko kwenye usingizi mzito na naona pia umesoma katiba na kutuletea vipengele nusu nusu.. hebu kwanza soma katiba yote na ona jinsi gani raisi alivyokuwa na Mamlaka katika Tanzania nyinyi mnajitayarisha kumuondoa raisi madarakani yeye anavunja bunge ndani ya dakika moja and then hapo ana siku 90 za kuitisha uchaguzi mpya huku yeye akiwa na mamlaka ya raisi anayo kwa hivyo hizo siku 90 anaweza kufanya anavyotaka yeye na uchaguzi utasimimamiwa na watu aliyowateuwa yeye...kwa hivyo kijana zako siyo ndoto bali kutokuelewa..
Na moderator hii mada imeshajadiliwa sana Enzi za kikwete naona tunaendelea kuijadili tena..
 
Ukisoma ibara hizo soma na hii hapa

90.-(1) Baada ya Uchaguzi Mkuu Rais ataitisha Mkutano wa
Bunge Jipya ufanyike kabla ya kupita siku saba tangu kutangazwa
matokeo ya huo Uchaguzi Mkuu katika majimbo ya uchaguzi yote
isipokuwa katika majimbo yale ambako uchaguzi umefutwa na
kufanywa upya.
(2) Rais hatakuwa na uwezo wa kulivunja Bunge wakati
wowote, isipokuwa tu-
(a) kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa
mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba hii; au wakati wowote
katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa
Bunge, isipokuwa tu kama Spika amepokea taarifa
rasmi inayopendekeza kuundwa kwa Kamati Maalum
ya Uchunguzi kwa madhumuni ya kumuondoa Rais
madarakani kwa mujibu wa ibara ya 46A ya Katiba hii;
(b) kama Bunge limekataa kupitisha Bajeti
iliyopendekezwa na Serikali;
(c) kama Bunge limekataa kupitisha Muswada wa sheria
kwa mujibu wa idara ya 97(4) ya Katiba hii;
(d) kama Bunge limekataa kupitisha hoja ambayo ni ya
msingi katika sera za Serikali, na Rais anaona
kwamba njia ya kuendelea kutoka hapo si kumteua
Waziri Mkuu mwingine bali ni kuitisha Uchaguzi Mkuu;
(e) endapo, kutokana na uwiano wa uwakilishi wa Vyama
vya Siasa katika Bunge, Rais anaona kwamba hakuna
uhalali kwa Serikali iliyopo kuendelea kuwapo, na wala
haiwezekani kuunda Serikali mpya.
 
Back
Top Bottom