Kwa muda mfupi vita ya madawa ya kulevya imepunguza kero zifuatazo!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Mizigo ya mabilioni ya pesa ya cocaine iliyokuwa iingie ndani ya nchi yetu tangu vita hii ianze kwa ajili ya kumaliza nguvu kazi ya Taifa...Na iliyopo ndani inatafuta pa kupita!

Nina uhakika kama kuna mvuta unga bado yupo mtaani basi anavutia chooni au uvunguni tena chini ya ulinzi mkali...kama unahisi kuna lingine waweza tiririka nafasi bado ipo.
 
Back
Top Bottom