Kwa mtindo huu Wananchi Jimbo la Mbinga Magharibi Wamefulia

Majimbo mengi tu ya CCM wamefulia, kwasababu hawana wabunge bora ila bora wabunge, kazi kweli kweli.
 
Lakini si alijitetea kuwa alikuwa amezama katika maombi mazito kuliombea Bunge? Tena akadai kuwa sababu ya sala zake ndio maana kiongozi wa upinzani bungeni akaongea mambo matamu(sijui yapi!)

Picha hii iwekwe kwenye vitabu vya shule za msingi ili kuwafundisha watoto wetu kuwa si vizuri kutumia vibaya kodi za wananchi! Huu ni mfano halisi wa matumizi mabaya ya kodi zetu.
 
Back
Top Bottom