Kwa mtindo huu Wananchi Jimbo la Mbinga Magharibi Wamefulia

Kwa mtindo huu, wananchi wwamefulia...full kulala

Jamaa yuko kazini hap; kwani wewe hujui kazi inayofanywa na wabunge wa CCM? KULALA na KUZOMEA tu

attachment.php
 
Chie mwepe, nga kumanya. Chie nga kuwezekana. Kuhole moyo palongi.
Mambo kama ndo hayo wananchi wakamwulize kikwete aliyempigia debe. Na bado nakumbuka lugha yao nilipokuwa nao kwa miezi kama 6 hivi watamwambia nga kumanya mbunge wao.
Anaota mganda nguvu waliochezewa wakati wa kampeni.

Wanaojua vizuri kimatengo wanisaidie kunyoosha hapo huenda nimekosea spelling lakini maudhui ni sawa
 
ha ha ha ha. Akiamka hapo anazomea bila ya kujua anazomea nini. Halafu anaomba mwongozo wa spika.
 
Hapo anachangia hoja zake za bunge la njozi,hivyo mbinga watapata maendeleo kutoka kwenye njozi za mbunge wao anazozipata hapo.
 
Jamaa yuko kazini hap; kwani wewe hujui kazi inayofanywa na wabunge wa CCM? KULALA na KUZOMEA tu

attachment.php
Mheshimiwa John Komba kama hauna cha kufanya hapo bungeni akina Zitto, Mdee na Nyika wanakusumbua sana na UdotComu wao basi huna haja kabisa ya kuwazibia wananchi nafasi bure ya kumchagua mchapakazi hodari ambaye hivi sasa utakuta kwamba analilia kweli kweli hiyo nafasi unayoichezea wewe ili Wana-Mbinga wakatume haraka kazi bungeni Dodoma.

Halafu hapo unavyomuona Mhe Spika akimuuliza eti Mhe John Komba unamaoni gani katika hoja hii inayoendelea; tena utamsikia akikurupuka usingizini bila hata aibu eti NAUNGA MKONO HOJA ASILIMIA MIA KWA MIA KAMA AMBAVYO ALIVYOSEMA MZUNGUMZAJI ALIYETANGULIA.

Ajabu si tu kwamba hajui tu kilichosemwa ni nini bali baya zaidi ni kwamba akibanwa tu kidogo na spika utakuta kwamba hajui hata aliyezungumza mwenyewe ni nani!!

Jamani tujithidi sana kuchagua kazi tunazozimudu vema. Lakini huwezi kujua pengine hapo alipo anatunga wimbo wa kumpongeza nayo Dr Slaa kwa kumuachia Dr sana Kikwete kiti cha urais bila kumpeleka Tahrir Square.
 
Chie mwepe, nga kumanya. Chie nga kuwezekana. Kuhole moyo palongi.
Mambo kama ndo hayo wananchi wakamwulize kikwete aliyempigia debe. Na bado nakumbuka lugha yao nilipokuwa nao kwa miezi kama 6 hivi watamwambia nga kumanya mbunge wao.
Anaota mganda nguvu waliochezewa wakati wa kampeni.

Wanaojua vizuri kimatengo wanisaidie kunyoosha hapo huenda nimekosea spelling lakini maudhui ni sawa

AH! ULALUU MBUNU NA KONI KUBHI NA NDOMONDO? KWELI TA KUMBAMBA, KULUWOLE, KUMBAHA, KULITUHI NA KUMBENGA NGAMBAKU TUBHI NAYO. LUGHONU NA IHUNI PA MUHI HATARI SANA. Mzee hukukosea lugha. Umegonga palipotakiwa na kutufanya tujiulize mara mia huyu hasa yuko pale kufanya nini? Hivi kweli wananchi maskini wa Mbinga wamemtuma kulala?
 
Jamaa ana uhakika na fungu jimboni kwake kwa nini asilale! Hana point za kuongea, amekesha na vimwana maeneo bora auchape zake. Ni hatari lakini salama kwa Tz hiyo inawezekana.
 
Komba anadai kitu kimoja tangu aingie bungeni awamu iliyopita. Anadai helcopter ya kumbeba yeye akienda jimboni kukagua maendeleo. Hana muda na porojo za mama makinda!
 
Nasikia eti anajitete kuwa apo alikuwa kwenye maombezi makali kabisaa ya kuliombea bunge..... pambaf kabisaa!!
 
Kila mtu alikuwa na haki ya kuchagua, kama walimchagua wavune walichopanda labda watuambie kura zao zilichakachuliwa tutawaelewa.
 
Namshukuru aliyeweka hii picha jamvini. Nafikiri ameamua kufanya hivyo kuonyesha kuwa achangie au asichangai jambo hakuna linaloweza kufanyaki. Mfano watoto wetu wamefelishwa F.IV lakini hakuna waziri amewajibishwa, nchi ipo gizani hakuna anayewajibishwa, Raia wameuawa na askari wa wanyapori hakuna anayejali. Hata akilalamika serikali kazi yake kila siku ni kupinga na kutoa sababu zisizo na msingi, na ndizo zinazokuwa za kweli. Mmesahau yaliyotokea Ngorongoro? Mh Mbunge wa Ngorongoro alilalamika kuhusu watu wake kuonewa na serikali je Bunge lilimsaidia? Wakazi wa Mara waliadhirika na sumu ya Mgodi wa Barick je walilipwa fidia?Nachokumbuka ni kwamba wabunge wetu walienda kule kutalia na kuweka posho zao mfukoni. Bunge letu sasa ni mahali pa mlo tu si kwa ajili ya kujenga taifa. Tunahitaji ukombozi upya.
 
Huyo amekesha na changudoa baada ya kiti moto na bia. Mwacheni alale usingizi wa pono
 
Back
Top Bottom