Kwa mtindo huu, wagombea wa CCM watashinda kwa kulazimisha matokeo

Waafrika ndiyo tulivyo. Angalia huyu ni mwanachama wa CCM kindakindaki, ameona rushwa ya 30.000/= mpaka 100,000/= inatolewa kwa wajumbe. Cha ajabu amekaa kimya hakuna hatua aliyochukua ili uchaguzi uendelee wakimaliza aje JF aeleze alichokiona:D:D:D
Ulitaka afanye nini? Au unaamini PCCB wangeweza kumkamata mgombea wa CCM? Tupo wengi ambao tumeshuhudia rushwa za uchaguzi. PCCB walinywea na waliambiwa wakae kimya ili kulinda heshima ya chama. Wewe unatoa maoni gani juu ya hilo? Kumbuka kuna kundi kubwa la wajumbe linasusibiri kupata chochote kipindi hiki baada ya kukaa kijiweni kwa miaka mitano iliyopita.

Huu ni mtindo wa kizembe kwa Chama kinachojinadi kuwa kikongwe.
 
Waafrika ndiyo tulivyo. Angalia huyu ni mwanachama wa CCM kindakindaki, ameona rushwa ya 30.000/= mpaka 100,000/= inatolewa kwa wajumbe. Cha ajabu amekaa kimya hakuna hatua aliyochukua ili uchaguzi uendelee wakimaliza aje JF aeleze alichokiona:D:D:D
Kwani ukiwa mwana CCM ndo ujitwishe jukumu la kuzuia rushwa? Wapo wanaohusika na yaonekana iliruhusiwa.
Kwa nini wagombea waambiwe kujipitisha wakati taratibu za chama chao zinazuia?
 
Kwani ukiwa mwana CCM ndo ujitwishe jukumu la kuzuia rushwa? Wapo wanaohusika na yaonekana iliruhusiwa.
Kwa nini wagombea waambiwe kujipitisha wakati taratibu za chama chao zinazuia?
Eboo, nani kasema uzuie rushwa? kama askari wa mbele ulitakiwa kuripoti matukio ya rushwa. Hao wanao pambana na rushwa wanategemea taarifa toka kwa Raia wema kama wewe. Unadhani wana satellite inayoona watoa rushwa?
 
Dawa wangegeuza karatasi za matokeo juu chini then wa mwisho ndiyo anakua namba moja hapo wangepatikana kihalali
 
Back
Top Bottom