Kwa mtindo huu wa siasa je..? Tutafika kweli watanzania!!

Pips Man

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,438
2,000
Hivi hii system ya Tz ni ya wapi hii yaani viongozi wetu wa serikali na upinza muda wote wapo kwenye kampeni tuu kwa mtindo huu kweli tutafika wakuu...ebu fikiria tangu awamu ya pili ya rais Kikwete ianze yani kila siku nikampeni wanasiasa tu nchi inaendeshwa kisiasa siasa tuu mbon hizi system sizioni nchi nyingine wao wakimaliza uchaguzi kinachofuata viongozi kupiga kazi ebu niambieni wadau hii sisi tumeitoa wapi...!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom