Kwa mtindo huu wa sekondari za kata tz iakwenda kuwa nchi ya wajinga zaidi??????????????

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Hebu fikiria matokeo ya form four ya mwaka jana, kwa trend hii kwa miaka 5 au zaidi Tz itakuwa taifa la wajinga zaidi ili mafisadi akina RA waendelee kutawala-hii ni mbinu tu za hawa jamaa-make them fools to rule them for life. Sasa hivi wanasuka mbinu za kuteka matokeo ya uchaguzi wa 2015 kama walivyofanya 2010-ninyi kaeni tu mtathibitisha hili!!!!!!!!!!!!!!!!!!Watawatumia safari hii ENL, na AC kwa support ya UWT na nguvu ya rushwa-trilions!!!!!!!!!!!!!
Matokeo ya Loliondo ni ushahidi tosha tangu rais hadi komon man in the streets kupapatikia dawa ambayo hakuna aliyethibitisha kufaa kwake!!!!!!!!!! Hivi huyu babu mbona hajatuambia hii ndoto yake inathibitishwa na maandiko yapi ya Biblia?????????? Anayetibu watu magonjwa anaitwa mganga-kuna waganga wa aina mbili tu duniani-professional doctors, na waganga wa jadi (wanaotibu kwa miti shamba); sasa kwa kipimo hiki huyu babu moja kwa moja ni mganga wa jadi, tena hatari kwa vile hataki watu waulize undani wa tiba yake!!!!!!!!!! Je ikitokea baadaye kwamba hizi dawa zina sumu kwa maisha ya binadamu sijui akina JK waliokuwa wa kwanza kubugia watawasingiziaa CDM??? Shame on CCM (Chama Cha Mafisadi) na serikali yake-wanatia aibu duniani-kweli ndiyo maana anafurahia kulindwa na majini ya sheikh yule maarufu!!!!!!!!!!!!!!! Taifa hili linaumwa-Tz is sick - soon to be taken to ICU!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom