Kwa mtihani huu bajeti itapita bila kupingwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtihani huu bajeti itapita bila kupingwa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaubwaga, Jun 20, 2012.

 1. C

  Chaubwaga Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maelezo ya Mbunge wa CDM Mh. Mnyika jana baada ya kutolewa bungeni kwa kumuita Rais ni dhaifu akiongea na waandishi wa wahabari ndipo nilipogundua kwamba wabunge wa CCM hawana ujanja wakupinga bajeti iliyowasilishwa bungeni kwani kufanya hivyo kutawagalimu wao. Hatawajifanye wanajua kuongea sana lakini mwisho wa siku watapisha tu hiyo bajeti kwa asilimia 100.

  Sababu moja kubwa inatakaowafanya wafanye hivyo ni kuogopa kuvunjwa kwa Bunge endapo tu wataikataa bajeti hiyo, kuvunjwa kwa bunge kunamadhara makubwa sana kwa wabunge hao wa ccm kwani wanajua fika kabisa kuwa bunge likivunjwa na ukaitishwa uchaguzi asilimia kubwa ya wabunge wa ccm hawatarudu tena mjengoni kwani nafasi zao zitachukuliwa na vyama vya upinzani.

  Kwahiyo ilikuokoa balaa hilo na wao waendelee kuwepo mjengoni hadi 2015 utakapofanyika uchaguzi mkuu wataipitisha tu hiyo bajeti kwa nguvu zao zote kwa masilai yao binafsi na sio kwa wananchi waliowachagua, wabunge hawa hawanauchungu wamaendeleo ya wananchi waliowachagu, bajeti kama hii hawawezi kuipitisha hata kidogo kwani nirudie tena kwa kusema kwasababu ya masilai yao ya kuendelea kubaki mjengoni hadi hapo 2015 utakapofanyika uchaguzi mkuu.

  Rais msikivu na mwenye busara anayejali maendeleo na kero za wananchi bajeti hii angeiondoa bungeni na kuianda upya lakini kutokana na halihalisi ya sasa kwamba serikali iliyopo madarakani inafanya kazi kutokana hoja za vyama pinzani hasa zaidi CHADEMA rais hawezi kuondoa bajeti hiyo bungeni iliiandaliwe upya.

  Mungu ibarika Tanzania, Mungu wabariki wabunge wa ccm iliwawe na moyo wa kufanya kazi kwa masilai ya wananchi waliowachagua na sio kwa masilai yakwao binafsi na uwape ujasili wa kuikataa bajeti hii. Pia Mungu wabariki wabunge wa vyama pinzani ambao sio mamuluki wa ccm waendelee kujenga hoja zinazokusudia kuleta maendeleo ya wananchiwa Tanzania.
   
Loading...