Kwa mtazamo wa mwanaume - ni kero zipi ziwezazo kuharibu uhusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtazamo wa mwanaume - ni kero zipi ziwezazo kuharibu uhusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jul 21, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lately I have noticed a trend here. The trend is male bashing by the female members of this forum. A day doesn't go out without a thread being started that in one way or the other is about bashing men as if they (women) are so wholesome and do nothing wrong that can ruin a relationship. So, in the interest of bringing balance, here I come with a thread that should serve as an outlet for us fellas to register our pet peeves that we have about women......

  Na sisi akina kaka, kwa mitazamo yetu, ni mambo yepi ambayo huweza kuharibu uhusiano ulio nao na mwenza wako?

  Mimi naanza na haya machache:

  1. Usafi/ uchafu. Hili ni eneo kubwa sana lakini nitajitahidi kutoa muhtasari. Kwanza, usafi wa mwili. Sipendi mwanamke ambaye ni mchafu - asiyejua usafi wa kinywa, asiyejisafisha mwili wake vizuri, na asiyetunza vizuri mazingira aishiyo. Siyo nakuja nyumbani kwako halafu nakuta mi-tampon iliyotumika inazagaa zagaa chumbani kwako na bafuni. Ukishatumia hivyo vitu, tupa nje kwenye jalala/ dumpster.

  Haya endeleeni na wengine....
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh mi bfrend wangu kanizimia kwa sababu ya u chafu'
  -siogi ata kwas iku mbili
  -nguo sifui
  -bafuni kwangu blaaaaaaaaaaa wewe ukija tga pakukanyaga hamna masabuni chni yamedondoka.michanga ule uoto wa kijani
  -chumbani ndo doooooooooo mashuka si chn ya mwezi syafui napendaga ile harufu nzuri ya uchafu na ivi nalalaga bila kuoga+ili joto la dar bas daaaaa raha kweli kweli
  -mswaki sipiogi cz meno yangu yanauma nkipiga mswaki
  --jikoni ni balaaaaaaaa mabuibui kbaooooooooo sufuria za tangu last wk azijaoshwa
  -kwenye frij kuna maji maji kbaoooooooooooo manyanya yameoza na madudu mengine yameoza bt i dnt ave tym to clean t n i enjoyed to c my jokofu in that picha
  -nguo zangu narudia mara 4 ndo nafua yani mpk nguo pia nazifanyia sap km ni nyeusi basi ninacarry over kabisaaaa
  NA KUNA MENGINE MEEEEEEEEEEEEENG AMBAYO WA UBANI WANGU KANIPENDEA KWA SABABU YA UCHAFU TU
  nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!:frown:
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You are special! Special as in special ed....
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Mi mwanamke ambaye hajanyoa nywele za ikulu simrudii mara mbili..............
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hheheheheheeee...tutasoma mengi hapa.....

  Nasubiri ambao hawapendi nywele za kwapa....
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Nywele za kwapa kama zinatunzwa vizuri mi zinanipa changamoto sana.....

  Ila mwanamke aliyevaa kandambili mtaani simwangalii mara mbili.........Damn it! lazima mavumbi yatakuwa yametinga mpaka ikulu ndogo!!
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mi hawa mademu huwa wananiudhi sana kwenye suala la kutotimiza ahadi. Halafu wenyewe wanaona ni kama haki yao vile.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukawa mahsusi zaidi...ahadi gani unazozizungumzia?
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah umenkumbusha ata za kwapa pia mr anazipenda yani ndefuuuuuuuuuuuuu ata mabutu matatu yanaweza kusukika afu kukiwa na joto jingi zinakuwa za kahawiya au znakuwa km zna mvi ivi.......!!!!!!
  mr alinambia nkioga au nkinyoa ataniacha!!!!!!!
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ahadi yeyote tu. Ila mara nyingi huwa wanakuwa watata zaidi kwenye ahadi za kumegana.
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nachukia sana wanawake wanapachika manywele ya bandia.Siku hizi akina dada utadhani wamelogwa kila wanawake kumi utakuta tisa wamejivika minywele ya bandia.Wananitia kinyaa wengine wanaweka mitindo nywele zidondoke usoni kila mara wanahangaika kuzitoa usoni utadhani wazungu.

  Jamani hivi nyie kinadada kwanini hamtaki kusuka nywele?,kuna mitindo mingi mizuri ambayo hata wazungu wangekuwa na nywele zetu wangejivunia sana.Ebu acheni wehu wa kutubandikia minywele bandia mnakera bana,halafu minywele bandia inanuka ikikaa sana kichwani labda ikipuliziwa marashi.

  Hivi nyie kina dada kwanini mnakimbilia kila kitu,siku hizi mmevamia kuchora makucha na wengine kubandika makucha utadhani ndege
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold huwaga nachoka kabisa. unakuta full mbantu halafu eti ana bangs.....basi zinakuwa zinapigwa na upepo halafu unawaona wanabinua binua kichwa na kugeuza shingo kuziweka sawa.....haya ma weave bana haya...hivi mtu unajisikiaje kugundishiwa minywele ya mtu mfu?
   
 13. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndo hapo sasa halafu sijui wanamfurahisha nani. Mimi napenda sana totoz wenye nywele za asili, inaleta raha sana kwanza anakuwa huru, haogopi maji wala kumshika kichwani.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wewe unatimiza ahadi ,,wajua usilopenda kufanyiwa na mwenzio usimfanyie
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Arooo na wewe una weave kichwani?
   
 16. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mi natimiza sana FL1.
   
 17. JS

  JS JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanakufurahisha wewe hapo uwaone warembo zaidi wenye mvuto mbona unakuwa hivyo DW?? Hata kitabu cha Mungu kinasema mwanamke shurti kujiremba.........
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako JS,

  Kujiremba si kuvaa minywele bandia kusuka nywele pia ni kujiremba.
   
 19. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Rose bwana kama hujisikii kuchangia acha maana unafanya nasikia kinyaa mhhhhhhhhhhh! :angry:
   
 20. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  aha si mlisema mnapendwa kuzungushwa, iweje ulalamike
   
Loading...