Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

TAFUTA CONNECTION YA KUPATA PHONE ACCESORIES

MAKAVA,EARPHONES,PROTECTERS,FLASH N.K
 
Kwa SAUT biashara ya kufanya zipo ila mchawi location.. nikupe idea nzuri pale tafuta bidhaa za msimu Kama matunda uwe unapiga mnada jioni hasa ukiwa na company.
 
Nunua charger za smartphones, earphones, flashdrives, pamoja na stationery materials kama karatasi za rim, kalamu za wino, tafuta na bei kubwa la laptop uweke mizigo yako uwe unatembea nayo huku unaiuza.....
 
Ndugu zangu kuna hela nimeipata ipoo kama laki tano nataka niifanyie biashara ambayo itayonilipa

Angalau nisikose hela ya kula, hela ya kulipia chumba msaada wandugu mie ndo naanza maisha
Kama upo dar, tafuta sehem iliyochangamka , fungua kijiwe anza kuuza matunda
 
Habari zenu wana JF ni biashara gani ninayoweza kufanya kwa mtaji wa sh 200000, biashara ambayo haitachukua muda mrefu (Less than 2months) kuanza kuona faida..

AHSANTENI.
 
Ili watu wakusaidie kukushauri kwa urahisi ungetaja na location ulipo kwa sababu kila mahali kuna fursa zake za tofauti.

Nipo Moshi..
 
Back
Top Bottom