sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,272
- 7,870
Fanya biashara ya viatu vya bei rahisi kama vile yebo yebo viatu vya bei rahisi vya kina Dada , nenda kariakoo kanunue kwenye maduka ya jumla ni buku sita tu we unauza buku teni hadi elfu kumi na moja, mtu akija na buku nane au buku tisa chekua pesa, hiyo biashara huhitaji frem unamwaga chini tu kule kariakoo maana sasa hivi mgambo hawasumbui tena mkuu, ukifanya hiyo biashara lazima mtaji utakua na naamini utatoka, chamsingi uwe na heshima na pesa. Ni hayo tu mkuuHeshima kwenu wakuu
Nina laki tano nataka kuanzisha Biashara..naogopa kukurupuka
Wazoefu nisaidieni je naweza kuanzisha Biashara gani ikalipa?
Naishi Mburahati