kwa nini usilimishe shamba huko?
how..?
kwa nini usilimishe shamba huko?
Biashara ya tumbo (chakula) ndio rahisi na inalipa chapchap.......mwisho wa siku jua linapozama unakuwa umejua mzunguko wako. Kwa kuanzia badala ya kuanza ku-invest kwenye capital expenditure, nakushauri tafuta mtu ambaye tayari anafanya biashara then ongea nae kama unaweza kuchangia mtaji halafu faida mgawane pasu kwa kipindi fulani cha mpito. Mfano cheki hawa jamaa wauza mihogo, maji, madafu, samaki, karanga, vitumbua, chapati, miwa, mahindi ya kuchoma nk mtaji wao kwa siku wengi huwa hauziki elfu hamsini. Kuwa mjanja kudadisi wanavyofanya biashara then ingiza wazo la kuongeza mtaji, then atakayekubali hapo utakuwa mwanzo wa kuzungusha hiyo laki kabla hujaimaliza kwa mama ntilieHabari wana jf,kwanza kabsa naandika uzi huu nikiwa na imani kwamba jf ni sehemu ambapo naweza kupata majibu ya busara na hekima na sio dharau na mizaha.back 2 da point,nina sh.laki moja hapa nlpo,na nmemalza form six na sina kibarua,bt nategemea km nitachaguliwa nitaenda chuo bt nna hakika mkopo kwangu unaweza kuwa ndoto due to my points,so nilikuwa nataka nikazungushe haka ka hela ili kaongezeke.Natanguliza shukran...jf 4ever.
Biashara ya tumbo (chakula) ndio rahisi na inalipa chapchap.......mwisho wa siku jua linapozama unakuwa umejua mzunguko wako. Kwa kuanzia badala ya kuanza ku-invest kwenye capital expenditure, nakushauri tafuta mtu ambaye tayari anafanya biashara then ongea nae kama unaweza kuchangia mtaji halafu faida mgawane pasu kwa kipindi fulani cha mpito. Mfano cheki hawa jamaa wauza mihogo, maji, madafu, samaki, karanga, vitumbua, chapati, miwa, mahindi ya kuchoma nk mtaji wao kwa siku wengi huwa hauziki elfu hamsini. Kuwa mjanja kudadisi wanavyofanya biashara then ingiza wazo la kuongeza mtaji, then atakayekubali hapo utakuwa mwanzo wa kuzungusha hiyo laki kabla hujaimaliza kwa mama ntilie
ntalifanyia kazi mkuu
unaweza pia kuuza maji baridi barabarani,au kukaanga vitumbua kwenye stend za daladala mida ya jioni,na tangawizi.mtaji unatosha huo
tumia matatizo ya eneo ulilo sasa hivi kama fursa ya biashara.
Our regrets in life are not those decisions we took and they turned out wrong, but rather those we did not take.
mkuu kuhusu suala la maji nakubaliana na wewe kama yupo dar nakumbuka nilikuwa nasoma chuo cha fedha wakati naingia mwaka wa kwanza kuna kijana alikuwa anauza maji katokea kijijini pande za kilimanjaro alipewa mtaji wa sh 10000 huwezi amini vijana tulikuwa tunamuona kila siku jioni anauza maji na sigara tunaona mzaha tu ila wakati nakaribia kumaliza mwaka wa tatu jamaa alikuwa ameshanunua boda boda mbili na mtaji wa maji umeongezeka na alikuwa ameshawaleta vijana wengine kutoka moshi wamsaidie kazi zake na nyumba alikuwa ameanza kujenga huko kijijini na mpka sasa nafikiri bado yupo na ameweka msimamizi ana biashara nyingine pande za tegeta ila ina hitaji nidhamu kubwa ya kutunza pesa na matumizi yako lazima uyaheshimu huyu ana laki moja kama yupo serious akiamua kuanzisha biashara ya maji na wala sio kutembeza atafute tu eneo ambalo watu wengi wanapendelea kukusanyika hakika atatoka mbaya
mkuu umesema vzuri,by nw niko geita japo kwa mda xo kwa time hii nmeona nckae bure ndo maana nataka kuizungusha,kuhusu maji nmewaza kuuza maj ya viroba na ya bakhresa kwa kuwapa watu wauze then nawalpa,unaonaje hyo.maeneo ya manzese na mabibo
kodisha shamba
lipa watu walime