Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari members. Unamshauri biashara gani mtu mwenye mtaji wa 5000?

"Ondoa neno haiwezekani kwenye fikra yako na maneno yako yote unayoongea"
 
Kabla sijatoa ushauri wewe mwenyewe umefikiria biashara gani kufanya kwa kiwango hicho cha hela?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habari. Nina kama 1M nataka niigawe Mara 10 halafu niwape vijana wawe wanatembeza maeneo mbalimbali hapa Dar.

Ushauri wako ni biashara gani naweza anzisha na ikawa ipo simple lkn
- faida ni uhakika
- faida ya 3000-10,000 kwa siku
- rahisi mimi kusimamia
- niweze achia kijana wa kike au kiume

Nipo flexible mtaji kubadilika
Ila
Hiyo 1M niigawe kwa vijana kadhaa


Shukrani
 
Habari za humu wana Jf naomba kuuliza ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki tatu na ikawa inaniingizia kipato angalau elfu kumi (10000) au 5000 kwa siku kwa mazingira ya MOSHI YAAN MOSHI MJIN NA VIUNGA VYAKE??

MSAADA WENU TAFADHARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom