Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwanza Pole kwa changamoto za kubezwa nabaadhi ya wadau humu Sijui nao huwa

Hawaombi ushauri Binadamu nikama ibilisi wa binadamu mwenzie anapenda anavyo vifanya yeye viwe sahihi kulilko la mwingine

Is not fear

Naenda kuku shauri mkuu kama unaweza wekeza katika mifugo hasa ya kuku wa nyama utaingiza zaidi ya pesa hiyo ukitaka ushaur zaidi pm

Nautatengeneza ajira pia kwa wengine
Hellow habar mkuu nimesoma na nikavutiwa na ushauri wako sijui unapatikana wap au u a number

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nafanya biashara ya mkaa,join na mimi nikuletee,uuze au umweke mtu auze,kama huwezi nanunua mzigo nakulllllllllletea unauuza kkwea jumla,Mkaa mpaka ufike hapa unakuwa umecost 28000 per bag,Ukiuza hapa dar unauza kwa tsh 37000 per bag,hiyo ni whole sale,,,,retail ni 40000 up to 45000 per bag,,nina kibali kabisa,,,Au kama uko ruaha tafuta shamba kama heka moja,lima vitunguu.Lima kwa kisasa,heka moja ukitumia vibarua na ni umwagiliaji unapata bag 50 mpaka 90 or 100 bag,,ukiuza kila bag sh 60000,unapata kuanzia 3m ,5m to 6m,,hiyo ni ndani ya miezi mitatu,,unakua umevuna
Chuj upo wapi nataka mkaa

Nipigie 0657316399

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mchana wakuu...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita baada ya kuhitimu nikiwa nasubiri post za chuo mlezi wangu amenipa kiasi cha tsh laki moja...sasa sijajua nifanye biashara ipi kwa mkoa wa dar ninàkoishi naomba msaada wa mawazo wakuu....
 
Nguo za wadada/watoto

Matunda mchanganyiko (yale ya kwenye kikontena kidogo)

Maji ya kunywa ya kuuza..

Na zinginezoo........

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Back
Top Bottom