Kwa mtaji wa Shilingi 1,200,000 unaweza kufanya biashara gani Dar es Salaam?

Upo mikoani unataka umpe mtu 1.2M Dar? Acha kutafutia lawama watoto wa wenzio. Fanya biashara mwenyewe huko huko mkoani. Ukiamua kuja Dar njoo mwenyewe ufanye biashara.
Mkuuu mazingira niliyopo hayashawishi katika biashara na huyo ninaetegemea kumtumia namuamini sana aisee.Ni kijana niliemlea mm na kumuweka katika misingi iliyo mizuri.Nifanyeje mkuuu?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Nunua kuku au mbuzi huko mkoani mtumie dogo auze.
Na yeye anunue tisheti, mikoba, majeans na magauni Kariakoo akutumie mkoani uuze hata kwa kukopesha tu unakusanya hela mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom