Kwa mtaji wa milion 4 naweza kufungua duka la nafaka kwa jumla na rejareja?

Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
130
72
Habari zenu?

Kama kichwa cha habari kinavyosema, Je kwa mtaji huo wa milion 4 naweza kufungua duka la nafaka kwa jumla na rejareja? Naombeni mchanganuo wenu pia faida na hasara zake.

Asanteni.
 
Inatosha sana kutegemeana na sehemu yako ya biashara, aina za nafaka utakazojihusisha nazo, bei ya nafaka unapochukulia na gharama za usafiri pamoja na ushuru.

Zaidi inatosha sana na chenji inabaki-start with what you have in hand even if it's 100/=.
 
Asante mkuu
 
Asante sana mkuu vp faida yake?
Faida ipo kulingana na Location, maana naswma hivyo nilishawahi kufanya toka mwaka juzi, ila nikaacha, Location muhimu,fanya pia uwe na connection na wauzaji wa jumla kabisa na sio wa kati na pia ubunifu wa kila namna unahitajika
 
Habari zenu?

Kama kichwa cha habari kinavyosema, Je kwa mtaji huo wa milion 4 naweza kufungua duka la nafaka kwa jumla na rejareja? Naombeni mchanganuo wenu pia faida na hasara zake.

Asanteni.
Utaweza ni hela nyingi sana hiyo, ila ukikwama ntakuunganisha na majamaa flani wa Q-NET watakuambia vizuri matumizi ya hiyo hela mln 4
 
Mkuu hiyo ni nyingi sana. Tafuta Location na pia bei iwe rafiki.Utapiga hela.hakikisha unasimamia mwenyewe
 
Back
Top Bottom