Kwa mtaji wa kiasi gani naweza kuwa wakala wa Western Union pamoja na Money Gram na zipi process za kufuata ili kukamilisho jambo hili

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
473
1,000
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo yakwamba nahitaji mtu uelewa wa hayo mambo ya money transfer ambae atanieleza step by step ni jinsi gani naweza kuwa wakala wa mtaani kwenye fremu tu niliyopanga na kufanya hii kazi. Je taasisi zinaruhusiwa ni bank peke yake au hata mtu pia tu individual ambae ana mtaji fulani anaweza akaendesha.nakaribisha positive comments

Maendelea hayana chama

Vijana tupumbane kihalali mkono uende kinywani.
 
je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
473
1,000
Kwanza.. kwanini umeamua hizo mbili?.. Umefanya research au?..
Nimeona ni biashara ambazo watanzania wanaziogopa kuzifanya ndio maana nikataka mtu mwenye kujua angalau mtaji wake unafika ngapi ili nijue najitosa vipi huko
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,220
2,000
Wachache sana wanatumia Western Union na money gram sasa.
Na inapoelelea hakuna mtu atakayetumia.
Watu wengi kama si wote wamehamia katika mobile money app.
Hizo ni kama wave, World remit, cash app.
Mtu yuko China ananitumia mimi niko Morogoro directly kwa mpesa au yangu au TigoPesa lakini pia kuna directly kuingia kwenye Bank account to bank account.
Ni kitendo kisichozidi dakika 2 tu.
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,220
2,000
Ningekushauri umchukue uwakala wa mobile banking CRDB nmb n. K. na mobile money kama TigoPesa mpesa airtel hiyo achana nayo.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,110
2,000
Nimeona ni biashara ambazo watanzania wanaziogopa kuzifanya ndio maana nikataka mtu mwenye kujua angalau mtaji wake unafika ngapi ili nijue najitosa vipi huko

Wenzetu wamekujibu tayari.. ukiona watu hawafanyi.. chunguza kwanza kwanini.. kutoona tu haitoshi.. kuna Wave na Worldremit pia watu wanapokea pesa kwenye mobile wallet zao.. pia kuna option mtu kutuma ziende kwenye bank account. Kila la kheri
 
je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
473
1,000
Wenzetu wamekujibu tayari.. ukiona watu hawafanyi.. chunguza kwanza kwanini.. kutoona tu haitoshi.. kuna Wave na Worldremit pia watu wanapokea pesa kwenye mobile wallet zao.. pia kuna option mtu kutuma ziende kwenye bank account. Kila la kheri
Kila siku ulimwengu unabdilika na mambo yanakuwa rahisi zaidi lkn hizi njia za western union na moneygram bado zitaendelea kutumiaka kwa maana ni world wide lakn kama world remit kuna baadhi ya nchi inakataa alafu makato yake ni zaidi japo ni njia ya fasta ukilinganisha na moneygram ambayo makato yake ni cheap na pia mfano world remit ina process flani za ajabu ajabu ambazo kama unapoteza muda
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,110
2,000
Kila siku ulimwengu unabdilika na mambo yanakuwa rahisi zaidi lkn hizi njia za western union na moneygram bado zitaendelea kutumiaka kwa maana ni world wide lakn kama world remit kuna baadhi ya nchi inakataa alafu makato yake ni zaidi japo ni njia ya fasta ukilinganisha na moneygram ambayo makato yake ni cheap na pia mfano world remit ina process flani za ajabu ajabu ambazo kama unapoteza muda

Mmmmmh!!!!.. uamuzi ni wako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom