Pesa za uridhi Nini man au kiinua mgongo nenda kalime Ufuta Kusini
Asante sana mkuu
Pesa za uridhi Nini man au kiinua mgongo nenda kalime Ufuta Kusini
Mkuu hili trekta used ni milioni ngapView attachment 603287 NUNUA TREKTA MASSEY FURGSON
Kwenye daladala inabidi kujipanga maana mm nimekwama na imefika mahali nauza hata hio gari yenyewe mkuu.Biashara ya usafiri inaweza kukufaa kwa kuwa umesema huna muda wa kusimamia mwenyewe. Hizo zingine usijaribu utapoteza mtaji wako
Mimi nafikiri bajaji ndio chaguo bora kuliko zote.kwenye daladala inabidi kujipanga maana mm nimekwama na imefika mahali nauza hata hio gari yenyewe mkuu
Mi naona daladala Ni Kati ya biashara nzuri.Darmajeks,
mkuu biashara ya daladala sikushauri kabisa maana mm ninayo ila inasumbua sana .sio ubovu wa gari wala matrafki ila roho zetu tuu wanadamu na mambo ya kitamaduni mkuu
Mkuu, biashara ya daladala inafaa na pia haifai mimi nimefanya miaka mitano hiyo biashara niliona mengi sasa ngoja nikuambie wapi inafaa na wapi haifai;Mi naona daladala Ni Kati ya biashara nzuri.
Funguka ni Mambo gani hayo.
Nina mpango wa kununua TATA niingize huko.
Nina frame dodoma one way mjini barabara ya tisa karibu na mskiti nina Mtaji wa millioni 25 mnanishauri ni biashara gani nzuri naweza kufungua
Huu ushauri wako wa vyerehani nimeupenda kweli ngoja niufanyie utafitiKua wakala wa mabenki na huduma za pesa kwa njia za simu, kata chumba hicho kama ni kikubwa weka vyerehani kama vitano na washonaji..wape hesabu ya buku tano tu per day kwa kula cherehani au buku 7.
Over
Wewe iyo biashara ya unga unaifanya ama ulishawahi kuifanyamkuu njoo tuuze unga,Siku tatu unatengeneza faida Mara 3 ya hiyo hela
Na usiwaze kuweka pesa yako yote kwenye biashara..anza kidogo kidogo,mapato madogo madogo ndo hukuza akili na mtajiHuu ushauri wako wa vyerehani nimeupenda kweli ngoja niufanyie utafiti
mkuu njoo tuuze unga,Siku tatu unatengeneza faida Mara 3 ya hiyo hela