thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,791
- 4,679
Kwani hizo biashara ambazo ulikuwa unawaachia vijana zilikuwa zinalipa isipokuwa vijana ndio sio waaminifu au zilikuwa zilileta hasara?
Kama zilikuwa zinalipa sioni haja ya kuja kutafuta fursa nyingine mi nakushauri concentrate kwa kufanya review upya ya jinsi kukabiliana na changamoto hiyo vinginevyo utajaribu kila fursa na unaweza kuishia na hasara kila siku.