Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

Sirdirashy

Sirdirashy

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
2,279
Points
1,500
Sirdirashy

Sirdirashy

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
2,279 1,500
Pesa za uridhi Nini man au kiinua mgongo nenda kalime Ufuta Kusini
 
D

Darmajeks

New Member
Joined
Jan 13, 2019
Messages
2
Points
20
D

Darmajeks

New Member
Joined Jan 13, 2019
2 20
Salam sana wakubwa na wadogo.

Nahitaji idea nzuri ya biashara ambayo
Haina usimamizi mgumu kwasababu mimi ni mwanafunzi ambaye niko chuoni kwahio mda mwingi nakuwa darasani.

KWAHIO NILIKUWA NAWAZA KUTUMIA HIZI FEDHA KUANZISHA BIASHARA WAKATI MM NIKIWA NASOMA..

Baadhi ya biashara nilizowaza ni Kuanzisha
1.biashara ya daladala au bajaji au hata toyo
2.Biashara ya nguo(kama nikipata msimamizi)
3.biashara ya bondo za samaki(lakin hii sina research juu yake) labda kwa watu mnayoijua mnawezaa mkanipa ushauri.
 
milionea wa kesho

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
280
Points
500
milionea wa kesho

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
280 500
Salam sana wakubwa na wadogo.

Nahitaji idea nzuri ya biashara ambayo
Haina usimamizi mgumu kwasababu mimi ni mwanafunzi ambaye niko chuoni kwahio mda mwingi nakuwa darasani.

KWAHIO NILIKUWA NAWAZA KUTUMIA HIZI FEDHA KUANZISHA BIASHARA WAKATI MM NIKIWA NASOMA..

Baadhi ya biashara nilizowaza ni Kuanzisha
1.biashara ya daladala au bajaji au hata toyo
2.Biashara ya nguo(kama nikipata msimamizi)
3.biashara ya bondo za samaki(lakin hii sina research juu yake) labda kwa watu mnayoijua mnawezaa mkanipa ushauri.
Biashara ya usafiri inaweza kukufaa kwa kuwa umesema huna muda wa kusimamia mwenyewe. Hizo zingine usijaribu utapoteza mtaji wako
 
crunkstaa

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
319
Points
225
crunkstaa

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
319 225
Salam sana wakubwa na wadogo.

Nahitaji idea nzuri ya biashara ambayo
Haina usimamizi mgumu kwasababu mimi ni mwanafunzi ambaye niko chuoni kwahio mda mwingi nakuwa darasani.

KWAHIO NILIKUWA NAWAZA KUTUMIA HIZI FEDHA KUANZISHA BIASHARA WAKATI MM NIKIWA NASOMA..

Baadhi ya biashara nilizowaza ni Kuanzisha
1.biashara ya daladala au bajaji au hata toyo
2.Biashara ya nguo(kama nikipata msimamizi)
3.biashara ya bondo za samaki(lakin hii sina research juu yake) labda kwa watu mnayoijua mnawezaa mkanipa ushauri.
mkuu biashara ya daladala sikushauri kabisa maana mm ninayo ila inasumbua sana .sio ubovu wa gari wala matrafki ila roho zetu tuu wanadamu na mambo ya kitamaduni mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,325,453
Members 509,127
Posts 32,193,014
Top