Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

thesym

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
3,161
Points
2,000
thesym

thesym

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
3,161 2,000
Yap zilikuwa zinalipa....lakini sasa hawezi kujigawa kote anatafutwa mtu anayejitambua
ndo maana nimesema aje na plan ya kutatua hiyo changamoto kuliko kuanzisha kingine kipya, unaachaje biashara inayokulipa kwa changamoto ya vijana.
 
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Messages
1,340
Points
2,000
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2018
1,340 2,000
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/-m ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.

Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Sababu huna uzoefu wowote nunua Nyumba Upangishe. Ni rahisi kusimamia.
 
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
3,305
Points
2,000
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
3,305 2,000
Anikopeshe hiyo 25M niingize kwenye forex halafu nimrudishie 30M baada ya wiki 4
 
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
4,960
Points
2,000
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2016
4,960 2,000
Hili ingekua ni mwaka huu ningekupa ushauri murua kbsa
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,689
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,689 2,000
we unapenda biashara gani kufanya au unadhani ukifanya weweza isimamia? we unapenda ufanye biashara ndani ya Dar tuu au hata Nje ya mko awa Dar?
 
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Messages
1,340
Points
2,000
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2018
1,340 2,000
Nyumba ya 25m ikoje
Muhimu ni pesa inayokuja kila mwezi wakati mtaji wako uko salama na unakua. Pia anaweza kujenga.

Forex, leo una pesa, kesho ni omba omba unataka kujiua, sababu umepoteza pesa zote au umepigwa na ukapigika na wajanja.

Tumshauri vizuri ndugu yetu.
 
Konki kichaa

Konki kichaa

Member
Joined
May 18, 2018
Messages
40
Points
95
Konki kichaa

Konki kichaa

Member
Joined May 18, 2018
40 95
Mkuu kipindi hiki mpunga kule Mbeya bei rahisi nenda kanunue mpunga au mchele peleka dar mpaka mwez wa10 bei inakua imepanda unapiga hela tu mpaka watakuita mchawi
 
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined
Oct 20, 2016
Messages
196
Points
500
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined Oct 20, 2016
196 500
Jamaa yangu ameomba ushauri,nimeona nilete jamvini ;
"Nimejifunza mengi kwa muda mrefu,...ninafanya shughuli nyingine ambayo inanihitaji niwepo muda mwingi....lakini nina mtaji kama 20m ambayo ninataka kuwekeza sehemu nyingine ili niongeze wigo wa kipato lakini napata changamoto ya kuwekeza ukizingatia sintokuwepo full time sababu;
1.Asilimia 95% ya fursa zinazotangazwa ni za kitapeli kama vile Namaingo,BitClub,Forex nk kote huko nimepigwa vya kutosha
2.Nikifungua biashara na kumuweka kijana ...ni maumivu matupu kwani sasa nimeamini hakuna kijana wa kumpa kazi akafanya na ukatengeneza hela
3.Biashara za mtandaoni 99% ni za kitapeli...
Sasa nimekwama kabisa....Natafuta mawazo mapya kama yapo...."
Duh hata mimi nakuna kichwa, mwenye wazo jipya anakaribishwa......
Nunua DCM ulaze 100-120 kwa siku
 
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,596
Points
1,500
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,596 1,500
Ndugu wana JF napenda mnishauri niko hapa GEITA mjini nataka nimfungulie mke wangu sehemu ya biashara mtaji nilionayo ni milioni 20.Ki ukweli mimi sina uzoefu na biashara nimaejiriwa taasisi ya binafsi.Mke wangu alikuwa anafanya kazi kama mwalimu nimemwaachisha ili afanye biashara ili tuone tunaboresha maisha yetu.Sasa nawaombeni ushauri kwa huo mtaji nifanye biashara gani?Shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaribu2013

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
892
Points
1,000
Majaribu2013

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
892 1,000
"Supamaketi" ya nafaka pamoja na stock ya kutosha ya mpunga na mahindi.

- Mpunga
- Mahindi
- Unga Sembe
- Unga Kienyeji (Kwa order)
- Maharage
- Dagaa
- Samaki
- Njugu
- Dengu
- Ulezi
- Bange (joke)
- N.k

Nilifanyaga kauchunguzi cha biashara nikaona hii inalipa sana hapo
 
K

kacherokachero

Member
Joined
Aug 5, 2018
Messages
75
Points
125
K

kacherokachero

Member
Joined Aug 5, 2018
75 125
Unamwachisha kazi? hapana ungeanza biashara kwanza huku akiendelea na kazi then utaona nini kinafaa.biashara ya nafaka. Au uwakala WA miamala ya fedha mbalimbali.au internet cafe nk
 
M

mselamie

Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
32
Points
95
M

mselamie

Member
Joined Sep 20, 2016
32 95
Na tarajia kupata milion 50 natamani kufanya biashara , naombeni ushauli wadau
 

Forum statistics

Threads 1,325,448
Members 509,127
Posts 32,192,776
Top