Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

Mandison

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Messages
160
Points
225
Mandison

Mandison

Senior Member
Joined Mar 10, 2017
160 225
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/-m ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.

Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
 
Kibundi wa getto

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Messages
457
Points
1,000
Kibundi wa getto

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2013
457 1,000
Mtaji mkubwa sana huo na vilevile mtaji mdogo sana huo.
Cha msingi usiiweke ela yote kwenye kitu kimoja....igawanye hata Mara 3.

Ili biashara yeyote iwe na mafanikio endelevu ni lazima kuangalia usalama wa mtaji kwanza kabla ya kuangalia faida...
 
H

haroun lawi

Member
Joined
Sep 25, 2017
Messages
6
Points
45
H

haroun lawi

Member
Joined Sep 25, 2017
6 45
me nashauri ufanye biashara ya kuimport vyakula jumla jumla apo km unatoa mbeya viazi unaleta mjin au ndiz BUKOBA unaleta mjin ni biashara nzur ukipata dalali mwenye wateja wengi
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,806
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,806 2,000
Nitafte nikupe idea. Siwezi eleza humu.
 
Mandison

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Messages
160
Points
225
Mandison

Mandison

Senior Member
Joined Mar 10, 2017
160 225
Mtaji mkubwa sana huo na vilevile mtaji mdogo sana huo.
Cha msingi usiiweke ela yote kwenye kitu kimoja....igawanye hata Mara 3.

Ili biashara yeyote iwe na mafanikio endelevu ni lazima kuangalia usalama wa mtaji kwanza kabla ya kuangalia faida...
Ni sawa, ila ni biashara gani sasa?!
 

Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top