Kwa mtaji huu Tabora Mjini, Rage atapeta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtaji huu Tabora Mjini, Rage atapeta!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SirBonge, Oct 5, 2010.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  duh...wote vichwa maji. Ccm itapeta. Kuna mmoja kaja na vipaumbele vyake zaidi ya saba na atavitekeleza ndani ya week moja na nusu toka apate ubunge. Kaaaazi kweli kweli.
   
 3. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Labda huyo wa CUF... ila chadema hawakuwatendea haki wana-tabora kwa kutosimamisha mgombea wa ubunge....
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  basi ni vizuri sisoteee tukamuunga mkono huyo wa cuf
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  unajiuliza swali kisha unatoa jibu mwenyewe ... what a crap
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kura za ubunge kwao za rais kwa lipumba
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tabora tunamhitaji SLAA peke yake.

  Huyu akija, watu kama akina Rage watakimbia wenyewe......
   
 9. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rage was incarcerated a few years ago for felony charges, and therefore he's a felony!
  I wonder why we do elect felonies in the congress!
   
 10. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata kwa Mwakyembe wamefanya convenant kuwa Kyela ni kwa Dr. Slaa na Mwakyembe. Gud


  Bendera hii itaenda mapumziko muda si mrefu. View attachment 14773
   
 11. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Pendekezo zuri. Hata kama hakuna makubaliano rasmi kati ya vyama ni vizuri pale ambapo mgombea mmoja wa upinzani anaonekana kukubalika wote tumpigie huyo kura. Tabora onyesheni mfano kwa kumpigia mgombea wa CUF. Kinachohitajika ni nguvu ya mageuzi bungeni. Rage anajulikana ni fisadi papa.
   
 12. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hii inanikumbusha vipaumbele vya Dr.Slaa ndani ya siku 100!.May be inawezekana,kama Rais wao kwa nchi nzima siku 100,je mbuge wa jimbo,siku 7 ni nyingi sana.
  Du kweli hawa jamaa vichwa maji,akya ya nani!.
   
 13. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna mgombea wa CUF yuko makini sana nadhani atawasumbua CCM, Tabora ni ngome ya Prof Lipumba (ndipo nyumbani kwao). Dogo anajitahidi na ni mwelewa, yeye anajiita WaHapaHapa
   
Loading...