kwa mtaji huu ndege zetu ziende Mpanda, Kigoma, Lindo, Mtwara, Mwanza, Sumbawanga nk

Mandesy

Senior Member
Mar 22, 2018
115
125
Dalili zinaonyesha kwamba hali sio hali kwenye mali zetu hasa ndege zinazofanya safari nje ya nchi
Tjue kwamba tuna kesi zifuatazo kwenye mahakama za usuruhishi wa biashara..
  • Symbion Power
  • Aggreko Power
  • IPTL
  • Vhalambhia Family
  • Acacia
  • FBME Bank
  • Starling International—hawa wamelipwa kimya kimya kwa kugomboa ndege yetu Canada
  • Nk Nk
Kwa hali hii naona basi hata ndege za international schedules zisimamishwe maana zitaishia mikononi mwa wadeni.. Msiende India, China na Uingereza.. tutapoteza ndege zetu, hawa jamaa sio wa mchezo mchezo. Hata Mzee Meko siku akienda nje ya Africa, basi huenda asirudi, wadai wetu wanaweza kubaki naye teh the teh
 
Pale anapotambua kuwa kumbe miguvu/vitisho vina mwisho wake, hapo ndio akili inabidi irudi!!! Utemi kwako tu,!!! Watu wanakucheck tu, timing hiyo!!! Mbona kazi ipo bado la meli ya samaki!! Na sisi wadeni wa ndani ina bidi tuji mobilize, nazo tuanze kuzizuia za humu humu ndani hadi wazifiche!!! Hahaaaa kama namuova vile na prof!! Mvua jicho kodo
 
Usitishe watu ww. Kukamatwa kwa ndege zetu hazihusiani na makosa aliyoyafanya magufuli na utawala wake ....uzushi mbaya sana. Na kuhusu meli ya samaki kesi ilikuwa wazi mno walivuka mpaka wa kimataifa baharini wakaingia maji ya Tanzania. Watu kama nyie hawanabuki kuwapo nyakati hizi ili yote yatimie
 
Wapi nimesema kuwa awamu ya tano inahusika na deni hilo? Kuhusu meli ya ssmaki mimi sio mahakama, niliteamua kuwa kulikuwa na makosa, kwenye kuikamata, na wao kupewa ushindi, ushindi wa mahakamani unapingwa mahakamani, tatizo lenyu NYUMBU, kila kitu mnaleta siasa, kwani hilo deni la huyo mzungu si linajurikana serikalini, na kipindi cha jk si aliliipunguza? Leo mnataka kuaminisha watu kana kwamba ni kitu kigeni!!! Badala ya kujibu hoja unakimbilia miguvu(vitisho)
 
Back
Top Bottom