gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Wakuu,
Kwa maslahi mapana ya TFF na kwa sababu Mwakyembe amekwenda kwenye michezo, sasa tunamuomba Tundu Lissu akagombee nafasi ya urais wa TFF!
Au hii imekaaje wakuu