Kwa msichana mwenyeji wa mbeya anayehitaji kuingia kwenye ndoa soma hapa, serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa msichana mwenyeji wa mbeya anayehitaji kuingia kwenye ndoa soma hapa, serious

Discussion in 'Love Connect' started by nyumbani ni nyumbani, Oct 12, 2012.

 1. n

  nyumbani ni nyumbani New Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

  WASIFU WANGU;
  Jinsia: Mwanaume
  Umri: 27 yrs
  Mwonekano: Mwembamba, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
  Dini: mkristo ( moraviani)
  Kazi: mwajiriwa serikalini
  Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
  Mtoto: sina
  Pombe: situmii
  Sigara: situmii
  Nyumbani: Mbeya
  Makazi ya sasa: Shy kikazi

  WASIFU WA MLENGWA;
  Jinsia yake; msichana
  Umri wake; asizidi 25 yrs
  Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana), mweupe au maji ya kunde.
  Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
  Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
  Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
  Watoto: asiwe na mototo
  Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
  Nyumbani: awe mwenyeji wa Mbeya ( Ni muhimu sana)

  Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane kwa email detectivemaster@ymail.com au simu 0656380928 au 0752539979.
   
Loading...