Hao ni ma supa staa wanaogopa kuumia wasije wakapoteza kibarua chao kwenye kilabu zao huko Ulaya,hao ndio waafrika wa Afrika bana,wakati wenzao akina Beckham,Viera wanahaha kutafuta timu ili wacheze na waitwe na nchi zao kuzichea ,kwani kwao kuwakilisha nchi zao ni jambo la heshima sisi miafrika ya Afrika inakuwa ni kinyume ,tumetanguliza maslahi binafsi lol so si ajabu timu yenye mastaa wengi wanaocheza ulaya kufungwa na kufungasha virago ili wakatumikie vilabu vyao UlayaaWadau habari,
Kwa mpira walioonyesha jana Nigeria inaonesha kabisa kwa sasa hawana kitu kipya. Hawajui kabisa jinsi ya kukaba na kutafuta mipira wanapopoteza. Hawana umakini uwanjani.
Ndo mana MISRI waliwashika kwelikweli
Wadau habari,

Africa matatizo tuuuu,kelele nyingi hakuna lolote.