Kwa mpira huu Nigeria hawafiki mbali

Freddy81

Member
Feb 3, 2009
99
3
Wadau habari,
Kwa mpira walioonyesha jana Nigeria inaonesha kabisa kwa sasa hawana kitu kipya. Hawajui kabisa jinsi ya kukaba na kutafuta mipira wanapopoteza. Hawana umakini uwanjani.
Ndo mana MISRI waliwashika kwelikweli
 
Natamani ile nafasi ya Kombe la DUNIA wanyang'anywe hawa wa Algeria wapewe Ma FARAO, jamaa wale hatwari sana bana. Algeria sijui waliipataje, nadhani walikuja BWAGAMOYO kwa babu!!
 
Nigeria si ndio kiboko ya uchawi hapa Afrika?
wahamishie uchawi wao kwenye soka tuone.
 
Wadau habari,
Kwa mpira walioonyesha jana Nigeria inaonesha kabisa kwa sasa hawana kitu kipya. Hawajui kabisa jinsi ya kukaba na kutafuta mipira wanapopoteza. Hawana umakini uwanjani.
Ndo mana MISRI waliwashika kwelikweli
Hao ni ma supa staa wanaogopa kuumia wasije wakapoteza kibarua chao kwenye kilabu zao huko Ulaya,hao ndio waafrika wa Afrika bana,wakati wenzao akina Beckham,Viera wanahaha kutafuta timu ili wacheze na waitwe na nchi zao kuzichea ,kwani kwao kuwakilisha nchi zao ni jambo la heshima sisi miafrika ya Afrika inakuwa ni kinyume ,tumetanguliza maslahi binafsi lol so si ajabu timu yenye mastaa wengi wanaocheza ulaya kufungwa na kufungasha virago ili wakatumikie vilabu vyao Ulayaa
 
Wadau habari,
Kwa mpira walioonyesha jana Nigeria inaonesha kabisa kwa sasa hawana kitu kipya. Hawajui kabisa jinsi ya kukaba na kutafuta mipira wanapopoteza. Hawana umakini uwanjani.
Ndo mana MISRI waliwashika kwelikweli

I'm going for GHANA.
 
Nigeria wamecheza mpira kama wanafanya mazoezi ...wameni disaapoint sana
 
Corruption ipo hata kwenye game nigeria.wacheza wa ulaya wako kumpa kocha kitu kidogo ile wacheze.ndio maana ukiona kocha mzungu,usishangae kwa timu zertu za afrika.ngoma hii ilinisikitisha sana ndio maana Afrika hatutashinda world cup kamwe.

tangu nianze kuwaona nigeria,hii ilikuwa the worst game .KANU ni mzee kwa nini bado yuko bado national team?Yakubu hakuwa na pace maana muda mrefu alikuwa bench everton fc due to injury.

sad story to africa.
 
tatizo la watu wengi huwa wanaisahaugi MISRI, wale jamaa ni noma katika mpitra wa Africa, huwa tu sielewi kwanini hawa qualify kombe la dunia.
 
Wadau habari,
Kwa mpira walioonyesha jana Nigeria inaonesha kabisa kwa sasa hawana kitu kipya. Hawajui kabisa jinsi ya kukaba na kutafuta mipira wanapopoteza. Hawana umakini uwanjani.
Ndo mana MISRI waliwashika kwelikweli

Kigogo mwingine(CAMEROON) tena chaliiii..
Et Simba wasiofungika..simba wenyewe ndo hawa..... Kwisha habari yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom