Kwa mpango huu atasoma mtoto wa mengi na kikwete. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mpango huu atasoma mtoto wa mengi na kikwete.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Itibari, Feb 18, 2012.

 1. I

  Itibari Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Suala la waajiriwa kutopata ufadhiri ni kutaka kuendeleza lile wimbi la watoto wa wakulima wa kigoma kutosoma. mfano mimi hapa nmeanza kazi ya ualimu mwaka 2004. mshahara wa mkononi hadi sasa ni sh 200000/= nikajisomeshe chuo kiku, si vichekesho. wakati huo unakumbana na maafisa km Bitwye, Kabanga na wengineo wa wilaya ya KASULU AMBAO UKIOMBA RUHUSA KWENDA MASOMONI UMEKARIBISHA UADUI NA "UNAFUKUZWA KAZI BILA MAANDISHI" Maana unasimamishiwa mshahara bila kutaarifiwa. sijui ni kutojua hata taratibu ndogo za kiutawala? na km ndivyo mkurugenzi anashindwa kuwaandalia semina. manake nia ni kuzitia halmashauri hasara pale muhusika anapokwenda kudai hak yake mahakamani. sa tujiulize 90% ya watanzania km mimi watasoma tena?
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  pole mkuu, hao kina BITYWE wakoje, hebu dadavua
   
Loading...