habar wana jf ivi kwa wale wa kujitolea washapangiwa na wanaripoti lini makambini msaada please kwa mwenye ufahamu
wengine wameshapangiwa kambi ila kuripoti ni had mwezi 9 au 10
Wa kujitolea wanaenda kambini mwezi wa tisa au wa kumi?
Mkuu au ulimaanisha kwa mujibu?
mkuu n mwez 9, hizo za mwezi wa saba umepata wapiMwez wa 7 tar 1
wengine wameshapangiwa kambi ila kuripoti ni had mwezi 9 au 10
Madogo mnakula utawala tuu waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?????????????/ pigeni kozi aseee mmeenda msimu mzuri wa kulinda manyani wasile mahindi mtakula utawala sana pia mmewamisi maafande kama Lt Laizer Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Major Kanole C O wa 835 KJ He is a gud person
Young engineer/ Service Man Moody###########
835 KJ
KOMBANIA G COY
PLATOON 01
SECTION 02
OP: MIAKA 50 YA JKT
Waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tuambie ni tangazo gani la jkt ambalo linasema wakujitolea wata ripoti mwezi wa 9 au wa 10? Maana kwa mujibu wa jkt wamesema ni mwezi wa 6 na tangazo wakalitoa.. nyie ndo mlisemaga form6 mwaka huu hawaendi jeshi wakati wenyewe wahusika walishatoa tangazo