bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Havari wanajamvi?
Jamani hivi naomba mnijuze..
Kwa muda nimekua sielewi hili jambo,unakuta unatoa fedha labda kwenye akaunti una 120000Tsh Halafu ukaenda ATM ukatoa 50000 Tshs.
Kwanini risiti huonyesha;
Salio lililopo ni 70000Tshs
Salio halisi 60000Tshs
Swali, hii 10000Tshs hua inaenda wapi?
Naomba mnisaidie maana nkihesabu nimeshapigwa sana.. nina accounts NBC,NMB na CRDB zote huu mchezo upo yaani
Salio lililopo na Salio halisi.
Msaada wa kueleweshwa tafadhali.