Kwa mnaofahamu kuhusu hii bach.sciens in agr and agr ecnmcs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mnaofahamu kuhusu hii bach.sciens in agr and agr ecnmcs

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by beltomaiko, Aug 21, 2012.

 1. b

  beltomaiko Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mnao soma sua au pengine mnaoifahamu hii fuclt ya bach. sciens in agricultural and agroeconomics vip naski
  a mziki mnene au mnasemaje? pia isn it mrketable. tujiandae kuja kusoma vt gan?
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kama umepata admission kwanza shukuru,,sababu ilikuwa inacompetition sana....hyo course umeula tena sana mm siisomi ila wanaoisoma kwa kifupi inaitwa AEA dogoumeshatoka ila ila ila nenda kasome
   
 3. Geezzle

  Geezzle JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Comption ilsababshwa na nn bro?!
   
Loading...