Kwa mliopitia huku, naombeni mnipe mawazo yenu

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Eti wadau,kwa wale ambao mlikua na ma galfrds/boyfrds wakati mko vyuo vikuu,ivi baada ya kumaliza vyuo then kila mtu akawa mkoan kwao maisha yalikuaje,maana najua wengne hata ile jero ya kununua vocha umpigie swthat wako ilikua shida kuipata!sa jaman,naombeni mnipe challenges mlizozipata kwa wkt huo ili nami kipindi hiki ninachoenda kumalzia my last semister,niwe aware na nin kitakacho nikumba huko mbeleni.over
 
aisee izo ni tamthilia tupu zinaendelea hapo chuoni...
kama unaweza,itumie vizuri sana hii semester iliobaki...
kula ushibe...
mara nyingi mkitawanyika tu ndoto zinatofautiana...
hata kama utakua na ilo jero,halitanunua ule upendo wa geresha mliokua mnaonesha chuo..kwenye vimbweta
au kuyeyuka kabisa...mm ckufanya huo ***** aisee...
nilikua nakamatia kazi za nje tu!
 
communication lazima ikatike coz kama ni msichana wa chuo na amerudi kijijini kwao porini kabisa kule watendaji wa kijiji lazima wajimilikishe hapo... usione watu wanapendeza mjini hapa, kuna wengine wametoka mbali
 
aisee kama hujatangaza nia kwa wazazi wake itakula kwako coz mkono mtupu haulambwi oooh chezea kitaa
 
habarini za asubuhi waungwana.
Mapenzi mengie huendelea hadi kuoana ,mengine huishia,kama mimi na Eliza wa T,toka form srii tuko bennet mpaka leo tuna vijukuu.
 
Eti wadau,kwa wale ambao mlikua na ma galfrds/boyfrds wakati mko vyuo vikuu,ivi baada ya kumaliza vyuo then kila mtu akawa mkoan kwao maisha yalikuaje,maana najua wengne hata ile jero ya kununua vocha umpigie swthat wako ilikua shida kuipata!sa jaman,naombeni mnipe challenges mlizozipata kwa wkt huo ili nami kipindi hiki ninachoenda kumalzia my last semister,niwe aware na nin kitakacho nikumba huko mbeleni.over

Anenda rudiana na jamaa ake Wa kitaa, ila jamaa Wa kitaa atakula tu mzigo na kuja baada ya Huyu dada Kupata kazi ataanza Chukuliwa na mapredeshee Wa officin wenye wake, akifikia miaka 28 au 30 Atsina mda unaenda ataomba mrudiane, ukikataa atakuja jamii kutafuta marafiki Wa company na kujidai hataki Wa mdo Anataka company tu .... Watamdo Kama Kawa, na Kama atakuwa Natumia watamuoa.

My take;

Kama wampenda nenda fathom Kwao na jisajili, ukiishi kisanii Naye ataishi hivyo hivyo.
 
habarini za asubuhi waungwana.
Mapenzi mengie huendelea hadi kuoana ,mengine huishia,kama mimi na Eliza wa T,toka form srii tuko bennet mpaka leo tuna vijukuu.

Tamthiliya ya Nina - the promise! Tehetehetehe!!!!!
 
mtie kibendi aende nacho,ata kama atakumwaga atabaki na ukumbusho.....
 
inatengemea kama utakua na mapenzi ya kweli utaendelea nae la unalitaka kuonja kama tamu au chungu ndio utaiwacha.
 
Kama mapenzi yenu ni ya nimege nikumege mwisho wake ndio umefika lakini kama ni kwa malengo mtaendelea kuwadiliana hata mkiwa mbali
 
Jiandae kwa lolote kwan ni ngumu kujua aliwazalo mmoja kati yenu,pia chochote cha weza tokea kutokana na umbali utakaojitokeza na uhaba wa funds kwa ajili ya kutembelea hivyo ni kuomba mungu tu kwan maisha ya uraian ni tofauti sn na mkiwa chuo,hasa hasa akili zinakua bize kutafuta maisha zaidi!
 
Miye nimepita Chuo cha Sokoine cha Kilimo miaka ya 1990. Mabinti walikuwa ni 2% tu hivyo tulikuwa tukijirusha na MOGLO kwa kwenda mbele; SINA UZOEFU. Tunaomba watu waliopita IDM-Mzumbe, UDSM, IFM, CBE, DSA watupatie maujuzi.

Bazazi ni Bazazi!
 
Rafiki yangu alimtegeshea boyfrend wake mimba semista ya mwisho ila mimba ya kwanza waliiflash wakiwa first year.
 
kaka akili kichwani mwako,
manake mambo hayaeleweki manake uraiani mambo mengi ukizingatia kuna stress za kupata ajira
Ila kama mwapendana weka malengo yenu pamoja na kajitambulishe kwao ili mchumba wako awe na uhakika.

Vinginevyo jiandae kuanzisha mahusianao mapya.
 
Back
Top Bottom