Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Inategemea aina ya mwenza uliyempata,kwawengine ndoa nichanzo kipya cha furaha maishani
me sio mwanandoa ila walio kwenye ndoa asilimia Kubwa wana furahaa kushinda tunavyoaminishwa.
Sio kweli mada na picha zake.. Ndoa ni raha tupu usipime.
Ndoa ni paradiso.....Hapana si kweli
Sio kweli mada na picha zake.. Ndoa ni raha tupu usipime.
true.Ndoa ni paradiso.....
Ukikutana na shida hizo kwenye ndoa, basi ujue ndoa hiyo inatatizo la mmoja wa wana ndoa mume ama mke kutokujua nafasi yake na mahitaji ya (msingi) kwa mwenza wakeKidogo hapa nitapishana nawe Mkuu kwani japo Mimi bado sijaoa na sitarajii Kuoa leo wala kesho ila nina ' Kipaji ' kikubwa sana cha Kusuluhisha ' Ndoa ' za Watu wengi na kila Mwezi huwa sikosi kuletewa ' Kesi ' za Wanandoa 3 au 4 niwasuluhishe sasa unaposema kwamba Ndoa ni raha tupu nashindwa ' Kukumanya / Kukuelewa '. Na nadhani pengine kwakuwa nasuluhisha sana Ndoa za Watu Vijana kwa Wazee ndiyo maana hata ile ' hamu ' kama siyo ' nia ' ya Kuoa imenitoka kabisa na wala sihitaji.
Ok I respect maoni yako mkuu na mimi nimejibu on my side,hakika ni raha sana kuwa na mke mzuri, sweet, anayekuheshimu na kujipenda na hasa kuwa responsible na familia Masters na above all when you come to the sex act real una enjoy ile Sweetness mwanzo mwisho.Kidogo hapa nitapishana nawe Mkuu kwani japo Mimi bado sijaoa na sitarajii Kuoa leo wala kesho ila nina ' Kipaji ' kikubwa sana cha Kusuluhisha ' Ndoa ' za Watu wengi na kila Mwezi huwa sikosi kuletewa ' Kesi ' za Wanandoa 3 au 4 niwasuluhishe sasa unaposema kwamba Ndoa ni raha tupu nashindwa ' Kukumanya / Kukuelewa '. Na nadhani pengine kwakuwa nasuluhisha sana Ndoa za Watu Vijana kwa Wazee ndiyo maana hata ile ' hamu ' kama siyo ' nia ' ya Kuoa imenitoka kabisa na wala sihitaji.
Agatha nimekubambame sio mwanandoa ila walio kwenye ndoa asilimia Kubwa wana furahaa kushinda tunavyoaminishwa.
Ndoa ni paradiseNdoa ni paradiso.....
kwaniii?Agatha nimekubamba
Eleza kidogoHapana si kweli
Ndoa ni muunganiko Wa nafsi mbili zinazo pendana.Eleza kidogo
Ok sawaNdoa ni muunganiko Wa nafsi mbili zinazo pendana.
Dah.... Kupendana bila changamoto hakuna raha....angalau kuwe na mtiti siku mojamoja ndiyo mapenzi yanazidiNdoa ni muunganiko Wa nafsi mbili zinazo pendana.